MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,604
Kuna msemo wa Kiswahili unaenda hivi - Chako (ndio) chako, chako na wenzio litakalokupata lako peke yako.
Haya ndio yanayowakuta madaktari vijana wetu masikini ambao kwa kukosa uzoefu wa Kitanzania-tanzania wameingia mtegoni. Mfano mdogo tu ni hapa hapa JF; wengi tulishabikia mgomo na kuahidi kufa nao liwalo na liwe. Ningependa kuona kama bado tuna moyo huo huo baada ya interns kusimamishwa na kufutiwa leseni.
Kubwa ninalosema tu kwa sasa ni kuwa Mungu Awasaidie!