Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
hiii ni fitna mods iondoweni
nimeipendaHata ukiomba msamaha lakini ni ujanja wako tu wa kuhamasisha udini nchini. Ushindwe na uleegee kwa Jina la Yesu na Mtume Mohammed
Hata MUISLAM aliyeko kinyume na misingi ya uislam nae NI KAFIR hiyo ndio maana halisi ya neno kafir... yeyote aliyeko kinyume na uislam haijalishi ni muislam au mkristo ama budha nk... na kwanza watu wanatakiwa wajue kuwa sio tusi hilo neno... ila ni tafsili ya maelezo hapo juu.
Singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini Tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya CCM si kwamba ni wafuasi la hasha! ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!
Jana niliumia sana kutokana na Mkutano wa hadhara wa WanaCCM Kutumia kilemba cha Waislam!
Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
Kuficha maovu ya Mwislam Mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya Kafiri kupitia maandamano!
Naomba yeyote Mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na Waislam ktk Kujenga taifa letu!
1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya Hayati Baba wa taifa {Kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
2. Awamu ya pili China Mh Ali Hassan Mwinyi {Ustadhi} na mchango wake ktk Taifa letu!
3. Awamu ya tatu chini ya Ben Mkapa {Kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
4. Awamu ya nne chin ya Dr Mkwere {ustadhi} hapa no comment!!
Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha Nyakati za Makafiri au Maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana Singida!
Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!
Unajuaje kuwa huyo ni bwana mdogo? Je wewe ni bwana mkubwa?what is your point? nimesoma hii topic lakini nashindwa kupata maudhui yake! unataka kumaanisha nini bwana mdogo?
Singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini Tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya CCM si kwamba ni wafuasi la hasha! ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!
Jana niliumia sana kutokana na Mkutano wa hadhara wa WanaCCM Kutumia kilemba cha Waislam!
Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
Kuficha maovu ya Mwislam Mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya Kafiri kupitia maandamano!
Naomba yeyote Mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na Waislam ktk Kujenga taifa letu!
1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya Hayati Baba wa taifa {Kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
2. Awamu ya pili China Mh Ali Hassan Mwinyi {Ustadhi} na mchango wake ktk Taifa letu!
3. Awamu ya tatu chini ya Ben Mkapa {Kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
4. Awamu ya nne chin ya Dr Mkwere {ustadhi} hapa no comment!!
Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha Nyakati za Makafiri au Maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana Singida!
Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!
Waarabu kutoka Nchi Takatifu ''Oman" wako Loliondo kwa Babu wanaponywa kwa Jina la Yesu!!!!
Hacha UONGO wewe!!!!!!!
Unatakiwa ujue kuwa neno Kafir kwa waislam sio tusi, ni neno lenye tafsili halisi kwa YEYOTE ambaye hafuati misingi na dini ya Kiislam.
Hii haina maana kuwa Kafir ni mkristo pekee bali HATA MUISLAM ALIYEKO KINYUME NA MISINGI YA UISLAM nae anatabulika kama Kafir. Na wala sio kama unavyodai kuwa KAFIR NI MTU AMBAYE HANA DINI... hao ni pagans...
Acha upotoshaji kama ujui haina maana uzungumze.
singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya ccm si kwamba ni wafuasi la hasha! Ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!
Jana niliumia sana kutokana na mkutano wa hadhara wa wanaccm kutumia kilemba cha waislam!
Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
Kuficha maovu ya mwislam mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya kafiri kupitia maandamano!
Naomba yeyote mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na waislam ktk kujenga taifa letu!
1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya hayati baba wa taifa {kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
2. Awamu ya pili china mh ali hassan mwinyi {ustadhi} na mchango wake ktk taifa letu!
3. Awamu ya tatu chini ya ben mkapa {kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
4. Awamu ya nne chin ya dr mkwere {ustadhi} hapa no comment!!
Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha nyakati za makafiri au maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana singida!
Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!
Thread yenyewe iko kushoto kushoooto.... ueleweki... mara kafir mara ustaadhi... acha kuwapima watu kwa misingi ya dini yao... HUO NDO UDINI WENYEWE
Alafu peleka hii thread kwenye jukwaa la dini , hapa sio mahala pake.
Hivi kwani ni lazima muanzishe topic??? si mnaweza kuchangia za wenzenu??? aaaaaaaaaaaaaggggghhhhh!!!
Hii thread! nimejaribu kuisoma mara mbili mbili lakini bado sielewi lengo lake ni nini hasa!
Du!!