Ulifanya nini shuleni kilichofanya kengele ya dharura ipigwe kwa ajili yako?

Primary kuna yake matunda ya miti fulani ivi yaki wekwa sehem amkai,, yana nuka balaa mimi nili yatupia staff room sijui boya gani yule alini choma wakati nili hakikisha niko peke angu eneo la tukio
 
😅 😅
St Joseph Itelambogo kigoma
Kidato cha pili likizo ya mwezi wa sita nilichelewa kulipoti shule kwa siku 6 Mama akampigia FAZA Sabasi (waroman kigoma nadhani wanamfahanu Huyu FAZA alivyo mtata kwenye masuala ya elimu

Faza sabasi akapiga simu shule kuwa nikifika nipewe adhabu

Nilivyolipoti shule nikapewa adhabu ya kuhudumia nguruwe wiki 7 baada ya siku 2 akaongezeka mwanafunzi mwingine kwenye adhabu ya kuhudumia nguruwe

Ikiwa imebakia siku 1 Mimi nimalize adhabu yangu na Yule mwingine akiwa amebakiza siku mbili akanishawaishi Tuibe nguruwe wawili na ameshapata mteja bila kufikiria mara mbili nikakubari tukatorosha nguruwe wawili tukawauza laki 2 wote wawili

Baada ya mauzo ile tunaingia tu shule walinzi wakatushika (kwa kosa la kutoroka shule hapa walikuwa bado hawajajua kuwa tumeuza nguruwe)

Kama mnavyojua seminary kosa Dogo tu hauna shule ukiambiwa usicheke wewe ukacheka wanakuswaga nikajua tu kwa hili la kwenda nje ya shule tu hatutoboi bado is wizi tena nguruwe za shule

So walinzi walitukabizii kwa mwalimu time mwalimu anafata karatasi Mimi na jamaa yangu hao bwenini beba vitu vyetu muhimu tokomea maporini na sikuwai kurudi tena ile shule mpaka wa Leo

Cha ajabu nilikutana na huyo mwizi mwenzangu mwaka Jana yupo Moshi anajiandaa kwenda kusomea upadri Italy
😅 😅 😅 😅
 
Munenikumbusha mbali sana kipindi nipo darasa la tatu. Nilikuwa mimi na rafiki zangu wawili yaani mtu tatu na muda wote tupo pamoja.

Sasa siku moja asubuhi tulikuwa tunakwenda shule. Njiani kulikuwa na mjengo mmojo wa nguvu ulikuwa unajengwa na mkuu wa polisi wa wilaya OCD. Kulikuwa na mashimo makubwa mawili yanachimwa na udongo mwingi sana ulikuwa umesambazwa mpaka brabarani

Basi sisi tukayasogelea hayo mashimo ili tuchukungulie tujue ukubwa wake, karibu na hyo mashimo tukaona briefcase sakafuni na pesa nyingi sana zimemwagika, tukazizoa na kutimua mbio mpaka machakani

Tukagawana hizo fedha na hata sikumbuki tuligawana vipi maana zilikuwa nyingi sana na wakati huo sisi hatuzijui pesa

Basi siku hiyo asubuhi hatukwenda shule tukabaki tunazurula tu mjini tukila bata yaani ilikuwa ni kujichana kwenda mbele.
Mida ya saa nne huwa ni mapumziko mafupi shuleni na sisi tukaona mda huo twende zetu shule. Tukawa tunatokea kwa nyuma ya shule sehemu ambayo kuna bustani za shule mala ghafla tunaliona gari la polisi linakuja sheleni na likaenda moja kwa moja kupaki mbele ya ofisi ya mkuu wa shule.. Sisi kuona hivyo tukajificha kwenye vichaka huku nikiangalia kinachoendelea. Tukamuona OCD akiingia ofisi ya mkuu wa shule mara tukawaona wanatoka na ikaamuliwa kengele ya dharura ipigwe. Basi wanafunzi wate wakakusanyika assembly na mara tukaoona wanafunzi wameludi darasani.

Sisi kuona hivyo tukasema kimenuka sasa turudi zetu mjini tuendelee kula bata. Kipindi hicho sisi tupo darasa Khaa tatu na wale wanafunzi wakubwa wa darasa la tano, sita na la saba wakaona hiyo issue ni bonge la fulsa. Wakaanza kutoroka shule na kuja mjini kutusaka na kutupukutisha pesa zote tulizo nazo na wengine walikuwa wanatusaka kwasababu OCD alikuwa ameahidi kutoa donge nono kwa atakakaye tupata na kuzipata pesa zake. Inasemekana ulikuwa ni mshahara wake wote wa mwezi huo na akaongezea pesa nyingine kwa ajiri ya kutaka kununua vifaa vya ujenzi

Basi sisi tupo zetu mjini tunakula bata hatujui kinachoendelea, mara ghafla tukaliona kundi la wanafunzi limetunyooshea kidole na kuanza kutukimbiza. Basi hapo na sisi tukapoteana kila mtu akachukua njia yake kukimbia. Hawakufanikiwa kutukamata, mimi nikafika zangu nyumbani nikaenda kuzichimbia pesa chini ya godolo nikatulia. Na wezangu wakafanya kama mimi yaani kama vile tulikuwa tumeambiana

Basi wenzangu wakanipitia nyumbani ili twende shule baada ya mapumziko ya lunch.. Tukafika zetu shule na kundi kubwa sana la wanafunzi wakajifanya wametukamata na kutupeleka moja kwa moja ofisi ya walimu. Walimu wakatuomba tutoe fehda tulizoziokota na kutumbembeleza sana kwa maneno mengi sana. Tukatoa hela kidogo sana ambazo tulizibakisha mifukoni kama emejensi. Walimu walikasilika sana.

Jioni narudi zangu nyumbani kutoka shule nakuta mdingi yupo zake sitting room ananisubili. Kumbe OCD baada ya kutoka shele alienda kuonana na wdingi zetu makazini na kuwaomba wamsaidie kupata hela zake. Mdingi akaniuliza hela tulizoziokota zipo wapi. Nikaenda nikampatia hela zote akaondoka. Aliporudi usiku alikuwa amelewa yupo chakali. Roho iliniuma sana na kujilaumu kwanini nimempa zile pesa
mbwa kala mbwa
 
St Joseph Itelambogo kigoma
Kidato cha pili likizo ya mwezi wa sita nilichelewa kulipoti shule kwa siku 6 Mama akampigia FAZA Sabasi (waroman kigoma nadhani wanamfahanu Huyu FAZA alivyo mtata kwenye masuala ya elimu

Faza sabasi akapiga simu shule kuwa nikifika nipewe adhabu

Nilivyolipoti shule nikapewa adhabu ya kuhudumia nguruwe wiki 7 baada ya siku 2 akaongezeka mwanafunzi mwingine kwenye adhabu ya kuhudumia nguruwe

Ikiwa imebakia siku 1 Mimi nimalize adhabu yangu na Yule mwingine akiwa amebakiza siku mbili akanishawaishi Tuibe nguruwe wawili na ameshapata mteja bila kufikiria mara mbili nikakubari tukatorosha nguruwe wawili tukawauza laki 2 wote wawili

Baada ya mauzo ile tunaingia tu shule walinzi wakatushika (kwa kosa la kutoroka shule hapa walikuwa bado hawajajua kuwa tumeuza nguruwe)

Kama mnavyojua seminary kosa Dogo tu hauna shule ukiambiwa usicheke wewe ukacheka wanakuswaga nikajua tu kwa hili la kwenda nje ya shule tu hatutoboi bado is wizi tena nguruwe za shule

So walinzi walitukabizii kwa mwalimu time mwalimu anafata karatasi Mimi na jamaa yangu hao bwenini beba vitu vyetu muhimu tokomea maporini na sikuwai kurudi tena ile shule mpaka wa Leo

Cha ajabu nilikutana na huyo mwizi mwenzangu mwaka Jana yupo Moshi anajiandaa kwenda kusomea upadri Italy
 
St Joseph Itelambogo kigoma
Kidato cha pili likizo ya mwezi wa sita nilichelewa kulipoti shule kwa siku 6 Mama akampigia FAZA Sabasi (waroman kigoma nadhani wanamfahanu Huyu FAZA alivyo mtata kwenye masuala ya elimu

Faza sabasi akapiga simu shule kuwa nikifika nipewe adhabu

Nilivyolipoti shule nikapewa adhabu ya kuhudumia nguruwe wiki 7 baada ya siku 2 akaongezeka mwanafunzi mwingine kwenye adhabu ya kuhudumia nguruwe

Ikiwa imebakia siku 1 Mimi nimalize adhabu yangu na Yule mwingine akiwa amebakiza siku mbili akanishawaishi Tuibe nguruwe wawili na ameshapata mteja bila kufikiria mara mbili nikakubari tukatorosha nguruwe wawili tukawauza laki 2 wote wawili

Baada ya mauzo ile tunaingia tu shule walinzi wakatushika (kwa kosa la kutoroka shule hapa walikuwa bado hawajajua kuwa tumeuza nguruwe)

Kama mnavyojua seminary kosa Dogo tu hauna shule ukiambiwa usicheke wewe ukacheka wanakuswaga nikajua tu kwa hili la kwenda nje ya shule tu hatutoboi bado is wizi tena nguruwe za shule

So walinzi walitukabizii kwa mwalimu time mwalimu anafata karatasi Mimi na jamaa yangu hao bwenini beba vitu vyetu muhimu tokomea maporini na sikuwai kurudi tena ile shule mpaka wa Leo

Cha ajabu nilikutana na huyo mwizi mwenzangu mwaka Jana yupo Moshi anajiandaa kwenda kusomea upadri Italy
Umetisha! Msalimie fr sabadi
 
Primary kuna yake matunda ya miti fulani ivi yaki wekwa sehem amkai,, yana nuka balaa mimi nili yatupia staff room sijui boya gani yule alini choma wakati nili hakikisha niko peke angu eneo la tukio
mavunja genge hayo.... kipindi tupo form 4 kuna mjinga alilipasua library usiku tunasoma aisee... kulkua na librarian flan hv mzee... maskini yule bibi kidogo azimie maana lilipasukia karibu yake aisee sio kwa hio harufu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ambao hamjasoma Boarding hamuwezi kujua.

Mimi na crew yangu tulikuwa VIP shuleni. Ugali na maharage ya mchuzi hatukuwahi kuwa waumini wake. Sisi tulikuwa tunakula ugali na maharage yaliyokolea mafuta. Wezi wa mafuta hayo.

Sasa wakishapika maharage na kukaribia kuiva, wanaweka mafuta na yenyewe yaivie humo. Yale mafuta yanaelea kwa juu, matamu balaa ukila na ugali. Sasa sisi tusioridhika na chuzi la maji, tukishajua yameiva tunatimba jikoni kufanya yetu, mpishi akishatoka kwenda kujiandaa kwa ajili ya kuja kugawa chakula cha jioni.

Ikawa michezo ya muda mrefu kwa mafanikio. Za mwizi arobaini, zamu yangu kutimia.

Watu tunagawana majukumu. Kulikuwa na 'jicho kote', huyu alikuwa na kazi moja ya kuangaza na kutoa signal kama kuna hatari yeyote. Huyu kazi kuwaangalia walimu, wapishi na wanoko (viranja).

Yupo 'kinga', ambaye yeye anakuwa na Bakuli kubwa ndani ya ndoo. Kazi yake kupokea bakuli lenye wese na kupakia kwenye hilo bakuli ndani ya ndoo.

Kuna mtu wa mwisho, 'Master'. Huyu ni mchotaji. Anapaswa kuhakikisha kuwa anaondoka na layer ya juu ya mafuta pasipo chembe za mchuzi. Hii ni hatari maana mafuta yanakuwa ya moto balaa na unapaswa kuwa sharp.

Majukumu ni ya kupokezana. Na mimi siku hiyo nilikuwa na majukumu yangu kama Master.

Jicho kote ni sijui alizembea wapi yule mpumbavu. Alishangaa na hakumuona Mpishi anapokuja.

Nashangaa tu nimefikisha mkono usawa wa dirisha, nasikia vishindo nimepewa fimbo nzito ya mgongo. Ule ughafla, nikajimwagia mafuta na bahati mbaya yakamrukia na mpishi kichwani.

Sikusikia maumivu, nikatimka mbio. Maumivu naenda kusikia baada ya kufika kwenye chocho ya kupasulia kuni. Mpishi akapiga kelele. Wanafunzi wakajaa na walimu wakafika. Kengele ikagongwa, wote parade.

Sikwenda na wakaagizwa maskauti wanifate. Nilikuwa mbabe, hawakuthubutu kunigusa.

Wakanishauri tu, nikajiendea mwenyewe. Nililambwa viboko balaa na wenzangu. Hawakujali hata nalia maumivu.

Kesho yake tukarudishwa nyumbani miezi mitatu. Aibu. Unarudi nyumbani kwa wizi wa wese na umeungua. Tumbo baya sana.

Niliacha utukutu. Kurudi shule adhabu ikawa mpaka tunamaliza tulikuwa wa mwisho kula. Muda mwingine tunapata kingi, siku tunakosa kabisa. Haturuhusiwi kuonekana maeneo ya jikoni.
hayo mafuta ilkua ukiyaendekeza tu basi kitambi siku tatu tu hiki hapa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
St Joseph Itelambogo kigoma
Kidato cha pili likizo ya mwezi wa sita nilichelewa kulipoti shule kwa siku 6 Mama akampigia FAZA Sabasi (waroman kigoma nadhani wanamfahanu Huyu FAZA alivyo mtata kwenye masuala ya elimu

Faza sabasi akapiga simu shule kuwa nikifika nipewe adhabu

Nilivyolipoti shule nikapewa adhabu ya kuhudumia nguruwe wiki 7 baada ya siku 2 akaongezeka mwanafunzi mwingine kwenye adhabu ya kuhudumia nguruwe

Ikiwa imebakia siku 1 Mimi nimalize adhabu yangu na Yule mwingine akiwa amebakiza siku mbili akanishawaishi Tuibe nguruwe wawili na ameshapata mteja bila kufikiria mara mbili nikakubari tukatorosha nguruwe wawili tukawauza laki 2 wote wawili

Baada ya mauzo ile tunaingia tu shule walinzi wakatushika (kwa kosa la kutoroka shule hapa walikuwa bado hawajajua kuwa tumeuza nguruwe)

Kama mnavyojua seminary kosa Dogo tu hauna shule ukiambiwa usicheke wewe ukacheka wanakuswaga nikajua tu kwa hili la kwenda nje ya shule tu hatutoboi bado is wizi tena nguruwe za shule

So walinzi walitukabizii kwa mwalimu time mwalimu anafata karatasi Mimi na jamaa yangu hao bwenini beba vitu vyetu muhimu tokomea maporini na sikuwai kurudi tena ile shule mpaka wa Leo

Cha ajabu nilikutana na huyo mwizi mwenzangu mwaka Jana yupo Moshi anajiandaa kwenda kusomea upadri Italy
🤣🤣🤣🤭🙌🙌
 
Rafiki yangu alikuwa kapewa hela ya kutosha akaniambia break ya saa sita na robo tutaenda kufakamia chips za kutosha.

Nikachachawa. Kwa vile nilikuwa time keeper nikagonga kengele saa tano na robo badala ya saa sita na robo.

Ikawa kimbembe kuanza kuwarudisha darasani tena wanafunzi wa shule nzima.

Chezea chips weye
 
Nilidakwa na simu advance nikafukuzwa na wenzangu tukakaa nyumbani two months ila home niliwadanganya ila ilikuwa mbaya sana kwangu maana tulikuwa tunakaribia mitihani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom