Ulevi nooma!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Baada ya kulewa chakali na
rafk yake mpya aliyempata
bar, mlev akamkarbsha
rafk mpya akapaone
kwake, walipofika
mwenyeji akaanza intro ...unaona makochi
yale, ni makochi yng, njoo
jikoni, ..unaona hilo oven
hilo ni langu, twende
chumbani.. Unaona hicho
kitanda, kile changu, na yule mwanamke mzuri
kitandani ni mke wng, na
yule jamaa amelala nae ni
mimi, haya twende store..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom