Ule mpango wa kujiandikisha uanachama wa chadema kupitia mtandao umefikia wapi?

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Kuna wakati tuliambiwa ya kuwa chadema wataanza kusajili wanachama kupitia mitandao ya simu na website yao je mpangu huu umefika wapi ?
 
Mpango huo bado upo ingawa utekelezaji wake ndio umekuwa unasuasua.

Kwa jiji la dsm kuna maelekezo ya katibu mkuu kwa viongozi wa majimbo kuhakikisha wana update database ya wanachama wao(simu na email address) na kuziwasilisha ofisini kwake kabla ya mwisho wa mwaka huu ili kukamilisha mchakato mapema mwaka kesho.
 
huu mpango ungerahisisha wanachama kujiandisha wakiwa nje ya nchi. muda umefika kwa cdm kuangalia hili jambo kwa undani ili kuwapa nafasi wadanganyika wanaoishi ugaibuni nafasi ya kuitumikia nchi yao kupitia chama makini cdm
 
Vipi na ule mpango wa Chadema TV umefikia wapi?

Na ule mpango wa kujenga Makao Makuu ya chama nao umefikia wapi?

Vipi na ule mpango wa kuchangia chama kupitia simu za mkononi nao umefikia wapi?

Vipi na ule mradi wa Fusso za Chadema walizonunua kwa Mbowe, nao umefikia wapi?
 
We vinakuhusu nini??
 
​nadhani huu ni mpango mahususi ambao ukikamilika tu basi utakuwa mwisho wa CCM kwani utawawezesha wanachama wa chadema kuwasiliana kwa haraka na kasi zaidi dhidi ya mbinu chafu za CCM
 
Vipi na ule mpango wa Chadema TV umefikia wapi?

Na ule mpango wa kujenga Makao Makuu ya chama nao umefikia wapi?

Vipi na ule mpango wa kuchangia chama kupitia simu za mkononi nao umefikia wapi?

Vipi na ule mradi wa Fusso za Chadema walizonunua kwa Mbowe, nao umefikia wapi?

Yote ipo on progress. Hilo la mwisho muulize Nepi
 
Vipi na ule mpango wa Chadema TV umefikia wapi?

Na ule mpango wa kujenga Makao Makuu ya chama nao umefikia wapi?

Vipi na ule mpango wa kuchangia chama kupitia simu za mkononi nao umefikia wapi?

Vipi na ule mradi wa Fusso za Chadema walizonunua kwa Mbowe, nao umefikia wapi?

Yani we Rtz ni Mpuuzi sana. Kwa kukariri mipango ya vyama vingine hujambo ila kukariri mipango ya Chama chako cha Magamba hata hujishughulishi. Au ndio unatuambia kwamba chama chako kinaendeshwa kwa matukio? Kwamba hakina mipango?
 
Vipi na ule mpango wa Chadema TV umefikia wapi?

Na ule mpango wa kujenga Makao Makuu ya chama nao umefikia wapi?

Vipi na ule mpango wa kuchangia chama kupitia simu za mkononi nao umefikia wapi?

Vipi na ule mradi wa Fusso za Chadema walizonunua kwa Mbowe, nao umefikia wapi?

umepiga ganja nini?

Ile mipango mia moja na saba ya mkulu vipi??
 
Back
Top Bottom