mi nafikiri TCU wanapewa rushwa na baadhi ya vyuo kama hivi,hiki chuo kimepigiwa kelele sana lakini TCU wamegeuka viziwiNi kweli kabisa tunatakiwa kujua zaidi chuo kabla ya ku apply,lakini wakati mwingine hivi vyuo ni biashara hujipampa vizuri ili waonaekane wako vizuri na wakati unajiunga huwezi kuona uozo ukisha ingia ndo unauo..mimi kwa hili nalia naa TCU
mi nafikiri TCU wanapewa rushwa na baadhi ya vyuo kama hivi,hiki chuo kimepigiwa kelele sana lakini TCU wamegeuka viziwi
Unamuuliza nani we gamba.Hiki chuo ni cha kitapeli?
mmmhhhhhUnamuuliza nani we gamba.
Mmeshindwa kusimamia elimu bora nchini mmebaki kupiga risasi akina akwilina.