Mwenyewe nipo home hapa,nagombania maaandazi na madogo...Mimi hapo kwenye upro nishavuka nipo PRO MAXMimi Niko kwenye Pro senior Jobless....Jamani mtusaidie twafaaaa!!!!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
😂😂Kwakuwa akili za vijana zimeharibiwa na Ibilisi basi wewe fungua account Facebook then jiite Fety mtamu wewe kazi yako ni kuwaunga vijana kwenye magroup ya video za ngono na kuwahadaa kuwa unagawa utamu na kufanya video call mpaka wanaji...lea.
Utapiga pesa sana.
Kama unabisha wewe fungua leo hii kwenye profile tafuta mdada nusu uchi mweke. Utaona inbox itakavyojaa. Wakija wapige pesa
Survival For the fittest... Aanzie hapa hapa Jf! Kuumbwa mwanaume jua inabdi ukaze kweli kuna siku unaamka hata 100 mbovu hunaaa yani kila unachogusa kina fail..
Mbona huu wizi sasa, maana yy dume!
Km 1kilo ya vifaa kama electrical gun soldering wir n vifaa vya kufungulia sio utani ukiwa muaminifu na mtu unaeenda n mdaa n kazi za watu pia unaweza undaa ata redio za mchina bufer izi ukauza azitumi material mengi man ni ujanja tuhh amkaani sahii mkuu lakini inawezekana with zero bajeti mkuu?
Maisha haya stress zisikie tu kwa mwenzako. Hii siku ya tatu sipati uzingizi.
Kuwa jobless sasa umekuwa mzigo mzito sana kwangu, daah kumbe ndio maana vijana hujiingiza kwenye kutumia madawa ya kulevya, ulevi na hata ujambazi, kweli poverty is the source of all evil.
Nilipomaliza chuo kuna kakibanda nilikua najishkiza kama machinga mama Samia kaja kakivunja sasa imenibidi niende nyumbani kaakiba kamekata, kazi nimeomba mapaka sasa nimekata tamaa.
Nimejiuliza labda CV yangu mbovu nikasoma articles kwa articles jinsi ya kuandikà CV na barua nzuri lakini bado mambo ni bila bila, sio intern wala kazi rasmi, sina wakunipa mtaji wala wa kunipa connection.
Nikaona basi nikaombe kujitolea nipate hata nauli na hela ya kula tu napo bilabila. I know this too will end, but when God . daah kweli ulaaniwe umasikini.
Mkuu pole sana.usikate tamaa one day yes,huenda siku nzuri zaja.hiki nikipindi unapitia kama kukufundisha namna maisha yalivyo.siku ikifika utakuwa tayari mwenye nguvuMaisha haya stress zisikie tu kwa mwenzako, hii siku ya tatu sipati uzingizi. Kuwa jobless sasa umekuwa mzigo mzito sana kwangu. Kumbe ndio maana vijana hujiingiza kwenye kutumia madawa ya kulevya, ulevi na hata ujambazi, kweli poverty is the source of all evil.
Nilipomaliza chuo kuna kakibanda nilikua najishkiza kama machinga kimevunjwa sasa imenibidi niende nyumbani kukaa bila kazi.
Nimeomba kazi mpaka sasa nimekata tamaa,nimejiuliza lamda CV yangu mbovu, nikasoma articles kwa articles jinsi ya kuandikà cv na barua nzuri lakini bado mambo ni bila bila sio intern wala kazi rasmi.
Sina wa kunipa mtaji wala wa kunipa connection, nikaona basi nikaombe kujitolea nipate hata nauli na ela ya kula tu napo bilabila .I know this too will end ,but when God .
Daah kweli ulaaniwe umasikini.
Shukrani mkuu nitaenda kwa mafundi walio karibu wanipe muongozo zaidiKm 1kilo ya vifaa kama electrical gun soldering wir n vifaa vya kufungulia sio utani ukiwa muaminifu na mtu unaeenda n mdaa n kazi za watu pia unaweza undaa ata redio za mchina bufer izi ukauza azitumi material mengi man ni ujanja tuhh amkaa
ama hakika usemalo kaka wakati wa shida ni wakati sahihi wa Mungu kutufunza jambo ,nami nimejifunza vingi sana mpaka sasa ,nazidi kukomaa kiukweli.Mku pole
Mkuu pole sana.usikate tamaa one day yes,huenda siku nzuri zaja.hiki nikipindi unapitia kama kukufundisha namna maisha yalivyo.siku ikifika utakuwa tayari mwenye nguvu
Mkuu tafuta passport,uapply pia green card ya mwaka huuMzee depression is real. Wengine kama kupambana tunapambana kinyama tunaamka asubuhi pale karume kuanzia saa 9 usiku mpaka saa 1:30 asubuhi migambo watakuja tunaondoka, hiyo ndio daily routine mitaji midogo hakuna tunachopata gharama ya maisha ni kubwaa akiba yote inateketea kwenye basic need. But mapambano ni muhimu japo nimeshakata tamaa kabisa
Nasikia pia inahitaji connection? Au ni story? Hivi ukiapply unaweza kwenda bila mwenyeji wala unaweza kwenda bila kujua a,b,cMkuu tafuta passport,uapply pia green card ya mwaka huu
We mnyamweziWe joblesa siku mbili tu umeanza kulia lia...!!
Uliza sisi ma senior jobless, tunaendeleza michongo tu unyama....!! Watu wabadii wanabless harakati tunatusua na kibunda cha mbet.
Komaa mwaisa, waatu wanaelewa harakati wanagoma kutupa michongo