Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,557
- 2,585
Maisha haya stress zisikie tu kwa mwenzako, hii siku ya tatu sipati uzingizi. Kuwa jobless sasa umekuwa mzigo mzito sana kwangu. Kumbe ndio maana vijana hujiingiza kwenye kutumia madawa ya kulevya, ulevi na hata ujambazi, kweli poverty is the source of all evil.
Nilipomaliza chuo kuna kakibanda nilikua najishkiza kama machinga kimevunjwa sasa imenibidi niende nyumbani kukaa bila kazi.
Nimeomba kazi mpaka sasa nimekata tamaa,nimejiuliza lamda CV yangu mbovu, nikasoma articles kwa articles jinsi ya kuandikà cv na barua nzuri lakini bado mambo ni bila bila sio intern wala kazi rasmi.
Sina wa kunipa mtaji wala wa kunipa connection, nikaona basi nikaombe kujitolea nipate hata nauli na ela ya kula tu napo bilabila .I know this too will end ,but when God .
Daah kweli ulaaniwe umasikini.