comfix
Member
- Feb 15, 2014
- 59
- 11
- Thread starter
- #41
sio ndio namshangaa aliropoka mwenyewe tena sasahv anaanza kutulilia sisi ili tufanyeje??. Wakat mm niliwahi wrong msg nilikuwa namtumia nyumba ndogo na ikaenda kwa mamaa ikabidi niwe mkali kama mbogo alipoanza kunihoji na akawa mpole mtoto wa watu mpaka nikamwonea huruma. Wakat kosa ni langu sasa huyu jamaa sijui yukoje?
Kinachofuata sasa na mimi namchunia tu, nilidhani ataelewa kuwa nampenda pendo la kweli mithili ya Samson na Delila kumbe hakuna kitu. Mimi ndiye mwenye mamlaka sasa ndo atajua kuwa Mwanaume Hafumaniwi bali Hukutwa.