Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

Mkombe kasema hivyo wapo Mkuu? Mkombe mwenyewe yupo katulia zake huko Lupatingatinga
Sitafuti umaarufu hapa, Msangi ni mdogo wangu tunaongea muda wote.

Unachojaribu kukijuwa kutoka Kwangu wala huwezi kufanikiwa.

Wakati wewe uko Primary school wenzako tulishuhudia Mandela akiapishwa kuwa Rais wa Kwanza mweusi nikiwa ndani ya South Africa.

Usione mwili mkubwa Msangi ni mdogo wangu ila nakubali harakati zake, hicho kiwanja cha Kaburu tuliwaachia siku nyingi kabla hakijaharibika na sasa NI machimbo ya panya road.

Nina voice note za Mkombe mwenyewe, sipendi kujichoresha.
 
Haya bana
 
Picha zenyewe za kuunga kuunga toka kwa Mohamed Msangi. Na umeandika ushubwada.
 
Picha zenyewe za kuunga kuunga toka kwa Mohamed Msangi. Na umeandika ushubwada.
Wewe huna akili, kuna Vitu vingi hatupost humu kulinda privacy za watu.

Ndevu huyu hapa na ndugu zake Jana tu.
 
Attachments

  • IMG-20231231-WA0008.jpg
    IMG-20231231-WA0008.jpg
    98.5 KB · Views: 9
Hao Mkombe nao shida iko mahali
Yan hata passengers list doc makosa kibao KENYANIANS
CONGOLIES
mbaya zaidi PRITORIA ni kama mtu aandike DODOMA kama DODUMA
 
Wewe akili huna tena koma kuquote post zangu.

Mtu hujawahi hata kufika Nairobi utajuwa nini watu wanaishi Vipi viwanjani?
We Dr umevurugwa na ajali auvtumbaku za Mandevu, mimi nimekuuliza unanikomesha umekua wa kike??

Nauliza tena, Emergency Travel Document unaweza kufika South Africa??

Yaani kufika South Africa unaona umetishaa saana?? Je ukifika mwezini Dr Manyaunyau??
 
Wenzako wanaotaka kujifunza Zipo thread humu wanaeleweshwa vizuri, wewe hujui lolote unakuja na kejeri ulitakaje?

Huwezi kwenda South Africa na Emergency travel document, lakini unaweza kutoka South Africa kurudi nyumbani na Emergency travel documents.

Kwa nini watu wanatoka na hizo na siyo passport maelezo hayo wanapewa watu wenye adabu ambao wanapenda kujifunza Vitu wasivyovijuwa bila kuleta kejeri.
 
Wewe huna akili, kuna Vitu vingi hatupost humu kulinda privacy za watu.

Ndevu huyu hapa na ndugu zake Jana tu.
Wewe na waliokupa taarifa ndio hamna akili. Kimtu kama hicho kinasumbua bus lote mnakiacha tu.....nyinyi ni wapumbavu?
 
Back
Top Bottom