Ukweli usemwe Yanga wamefika mwisho, ligi ya mabingwa sio lelemama

Baada ya kuandika uhalisia,unaandika ushabiki,penye ukweli andika ukweli,kwenye ushabiki andika ushabiki,kama hapa umeandika ushabiki baada ya ukweli.
Wana Simba mna chuki sana nyie.yotebhayo Kwa sababu ya goli tano tu.
 
Tusiongopeane wala kufarijiana kinafki ukweli ni kuwa mechi rahisi kwa Yanga ilikuwa ni hii

Kujipa hope kuwa utapata matokeo kwa Cr Belouzidad binafsi nafasi ya hilo kuwezekana naiona ni finyu sana.

Hata wenyewe sidhani kama wana hayo matarajio kwa asilimia kubwa. Focus ya Yanga kwa saizi naona ni bora kuweka nguvu kwenye NBC
Ni kweli
 
Sisi tunaota hivi, na itakuwa.

Waalgeria watashinda au kutoa suluhu na Waghana, na mechi mbili zilizobaki zote watapigwa ya Dar na ya kwao.

Waghana nao, watapigwa na Wamisri na kusuluhu na waalgeria.

Yanga itapigwa na Wamisri na kuwafunga waghana na waalgeria.

Idadi ya magoli ndiyo itakayoamua, au Yanga kuvuka kwa points 8 ambazo So Waalgeria wala Waghana watakaokuwa wamezifikia.

Ni ndoto tu tuyatamani itime.
 
Ila huyu 5imba mwenzio aliye leta huu uzi anataka Yanga ipite? Kweli nyani haoni kundule........ Mnajifanya watabiri kwa timu isiyo wahusu, sasa kama sio kujifariji ni nini.

Sawa mimi nimetumia misimu miwili,kufika fainal za CAF Confederation,ww umetumia misimu minne kuishia robo ya tatu championship na moja shirikisho ambayo ukafanya vitendo vya aibu mpaka ukachoma nyasi za watu South Africa.

Wewe mwenye approach nzuri ina nini cha maana,mpaka sasa?

We subiria zamu yako usiku muanze kelele zenu mara hamumtaki Mangungu, mara msuse kwenda uwanjani na timu lenu bovu linacheza kam lina lazimishwa.Mda si mrefu mtasema kocha hafai,maana mechi moja mliokula tano na kocha mmemuondoa........
Duh...kumbe Yanga ina misimu miwili tu tangu ianzishwe?
 
Marumo gallants hayupo kwenye group letu mkuu tupate walau ahueni....Hali Tete....
adriz huku kuna risiti nyingi sana. Nikumbushe hivi kwenye shirikisho kuna timu ilifungwa goli na Yanga kwenye hatua ya makundi? Maana nashangaa huku kwenye kichaka walichokuwa wanakitegemea mwarabu bingwa wa Algeria halmanusura ale mkono kwa Yanga.
 
Gamondi alikuwa anasafiria upepo wa Yanga ya Nani na upepo umeisha.

Ila Yanga ajitahidi tu awe anashika nafasi ya Pili au ya 3 ktk ligi ili akacheze shirikisho. Huku Ndiyo saizi yao.

Yanga Ni wadogo Sana mwenye klabu bingwa.

Kazi kukimbia hovyo uwanjani bila mipango Eti Ndiyo kuupiga mwingi.

Gamond hamna kocha mle!
Ni kweli yanga ni mdogo sana
 
Back
Top Bottom