Ukweli upo wapi?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,221
Unakuta girls wengine mkishaachana kwenye mahusiano utasikia anaongea hivi face to face na wewe au anaongea kwa pembeni.''''So this is the person you replaced me with? hahahahahah!''''

Hapo ina mana wana wivu au kweli uliyempata huendani naye?
 
yeyote kati ya hizo mbili ulizo zitaja...

"ina mana wana wivu au kweli uliyempata huendani naye"
 
Sweety yeye si tumeachana ? Kuendana au kutoendana kwa huyu mpya na mimi kunamuhusu nini au kunampunguzia nini ? Mi naona ni wivu tu, mi kuna 1 alisema 'hivi nitaweka uso wangu wapi rafiki zangu wakikuona na huyu jamani'
 
yap kwenye situation yako ni wivu kweli..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom