Ukweli unauma

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Nimemsikiliza huyu jamaa na nimeona ukweli katika utani wake. Kusema kweli imeniuma. Kwa nini Waafrika tukiongea kiingereza kwa accent ya kiafrika tunaonekana wajinga??
Mara nyingi unakuta mzungu anajifanya hakuelewi. I experienced that a lot, lakini siku izi na mimi najifanya siwaelewi.
Wengine mnaonaje? Have you had similar experience?

<font size="3">
 
Last edited by a moderator:
Nimemsikiliza huyu jamaa na nimeona ukweli katika utani wake. Kusema kweli imeniuma. Kwa nini Waafrika tukiongea kiingereza kwa accent ya kiafrika tunaonekana wajinga??
Mara nyingi unakuta mzungu anajifanya hakuelewi. I experienced that a lot, lakini siku izi na mimi najifanya siwaelewi.
Wengine mnaonaje? Have you had similar experience?

Well done mkuu,..dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao
 
Unajua ni psychological battle. Anataka kukufanya inferior kijanja! Sasa dawa ni moja, na wewe unajifanya humuelewi.
Kwani english ni moja? Kuna english mbalimbali, british accent, Australian accent, ect. Mimi ukinijia huelewi accent yangu
na mimi sielewi yako....game over!
 
life goes on......................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom