Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 797
- 929
Kuna Website ambayo inategemewa kufunguliwa hivi karibuni inajulikana kwa jina la wazzub.com, imekuwa ina endesha mchakato wa kurecruit new member kabla ya siku yake ya kuzinduliwa kwa madai kwamba mtu atakayekuwa ameunganisha member wengi kabla ya siku yake ya kuzinduliwa atakuwa anapewa hela kila mwisho wa mwezi, je wadau hili linawezekana au ni utapeli wa watu tu?