Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 6,175
- 2,788
Huu si muungano ni uvamizi. Nyerere kwa kuwatumia waZanzibara akina Jumbe, Kisasi na Kina Okello ni. Alimkamata Waziri Mkuu Shamte mpemba wa Ole na akamfunga jela ya Tanganyika pamoja na Baraza lake la mawaziri kwa miaka zaidi ya kumi , bila kuwafikisha mahakamani.Mkuu ulichosema ni kweli kabisa, sababu za huu MUUNGANO zilikuwa zimeegemea katika siku moja kuiona THE UNITED STATES OF AFRICA (USA) na mpango wa Nyerere, Nkuruma na Gaddafi ilikuwa kuziona nchi zinazokaribiana kikanda zinaungana kwanza kurahisisha muunganiko wa Afrika nzima hapo baadae, ndiomana unaona baada ya lengo hilo kufa na kubaki nadharia tu miaka yote hii zaidi ya 60 hakuna maelewano mazuri ya kijumuiya EAC, ECOWAS, SADC's etc kila nchi inafanya kitu inachoona kina faida nacho.
Malengo ya wazee na vijana wa sasa ni tofauti, vijana hawaoni umuhimu wa huu muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiwa Zanzibar ni sovereign country while Tanganyika is not. Kama ni MUUNGANO bhasi kuwe na serikali 3 au moja tu itakayoiwakilisha TANZANIA.
Hapo kuna udugu na uafrika??? . Msidanganywe na CCM . Hakuna cha mwarabu Zanzibar hizo ni mbinu Za Laanatullah Nyerere.