Ukweli mchungu: Ngumu lakini ndivyo ilivyo...

Joshua justine

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
792
1,007
Jiulize swali hili kwanza Je, kwa wale wa mama na wadada waliowahi kupata matatizo ya uzazi na hatimae katika kuzunguka mwisshoni wakajikuta kwa waganga wa kienyeji ma kubahatika kupata watoto huko, je watoto hao kwa asilimia ngapi walitoka kwa MUNGU BABA muumbaji wetu?

Ni dhahiri kuwa dini zote zinazoitwa Abrahamic , yaani waislam , wakristu na dini ya kiyahudi zinapinga shiriki na zote zinakubaliana kuwa shiriki ni ya shetani. Kuna waganga wa kienyeji wanaosaidia watu kwa tiba mbadala , hao hawana tatizo wakimpa tiba ya uzazi mwanamke, ila wale wa tunguli na vitabu , wanaopandisha majini hapana, nachelea kusema kuwa kinachoweza kuzaliwa pale pengine ikawa ni mtoto lakini ni siri ya mganga na shetani maana hapo wanaitwa majini na MUNGU hahusiki kabisa.

Kwa kuwa wanawake wanaendaga huko kwa siri sana jambo hilo shetani ndilo analotaka hasa, maana hataki watu washtukie kuwa kuna majini tunaishi nayo kwenye koo zetu, mitaani, mashuleni, maofisini, misikitini, na makanisani. Majini watu hawa huwa na kazi moja tu , kuendeleza uovu duniani kwa kuwa mifano mibaya kwa wanadamu kwa maneno na matendo. Mara nyingi hujifanya wao ni bora zaidi kwenye jamii na kuwafanya watu wawakubali kuwaongoza katika maeneo mbalimbali kama kwenye dini na serikalini; cha ajabu huwa hawana mema mengi kwa utendaji wao kwa watu zaidi ya akendo za maovu tu ya kuharibia jamii manufaa yake.

Majini watu hawa huongoza kwa ngono, huharibu mabinti, wanaongoza biashara haramu zote, wanaongoza magenge ya uhalifu, wanaongoza freemason na illuminat, wanafundisha watu uchawi , n.k Kama ni daktari lazima awe ndio muiba madawa na mtoa mimba, kama ni polisi lazima awe ndio mshirika wa majambazi na michongo yote haramu, kama ni mwalimu basi atakuwa anakula madent wa kike ovyo sana na wanampenda sana, kama ni mchungaji hivyohivyo kama ni mwalimu wa kwaya hivyohivyo n.k

UNAWAJUAJE...........
Inasikitisha kuwa wale wote ambao hawakupata wake/ waume kutokana na kumuomba MUNGU wengi wameoa/ wameolewa na uzao huu ambao upo duniani tangu enzi na enzi tangu uganga utawale jamii zetu. Wengi wamejikuta kwenye ndoa Ilizojaa usaliti ( japo sio sababu pekee) kwa kuoana na kundi hilo, kundi hilo linajitahidi sana kupata wanadamu ili kuzaa nao ili kuongeza kizazi chao duniani.
Ila siri pekee ya kuwajua bila kufanya maombi wala dua ipo katika MACHO.

MACHO ni dirisha la nafsi zote ni MUNGU mwenyewe ameumba hivyo. Miili yetu ni nyumba tu sisi tumo ndani ya nyumba ndio maana wewe mwenyewe unasema " mwili wangu" na ukifa tunapokuzika tunasema mwili wa marehemu, ww unakuwa umetoka zako. Hivyo nnapoongea na wewe nahitaji kuongea na aliyepo ndani sio mwili wako nnaouona nje, namuonaje aliepo ndani kwa kupitia dirisha yaani macho yako, nikikuamgalia machoni nitajua moyoni kama unafuraha, hasira, chuki, wasiwasi n.k hisia zako nitaziona na hivyohivyo majini watu wanapotazamana na ww ukiwaangalia machoni moja kwa moja na ukawauliza swali hilo kimawazo bila kusema nafsi zao huwa hawawezi kujificha , lazima mara mbili mara tatu utamgundua na akishaona umemjua atakubadirikia kwa kuvua ngozi ya kondoo , ww na yy hamtakuwa kama awali tena, ni sawa na mchawi ukimuona!

Fanya hivyo , jifunze kuwa chunguza watu machoni kwani wanadamu wa ukweli tumepata hasara nyingi sana kwenye biashara, ndoa, elimu, maofisini n.k unajikuta unakubaliana na partner kufanya jambo fuLani lakini anayokuja kukutendea baadae unabaki unashangaa amegeukaje mtu yule!!!!?

Mambo haya ni complex ila najaribu kuzungumzia kwa wwpesi bila kwenda deep ili iwe rahisi kwetu sote kuelewa( i mean sisi binadamu, maana jiwe gizani, utawasikia humuhumu)
 
Duu sasa wote wanajijua au wanatumika bila kujijua? Mbona inatisha sasa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Majini wanajijua mkuu, yaani sio watu kama ss ambao nafsi inajitambua kadri unavyokua , kumbuka YESU alikuwa anajitambua kuwa yeye si mtu wa kawaida, (ni Mwana wa MUNGU) , aliwakalisha wazee wa hekaluni kwa hoja akiwa na miaka 12 tu,
 
Mi nakuelewa sana, ni kweli
 
Pamoja sana mkuu, ila nikuombe uitafute kwenye jukwaa la siasa hii thread;
SIRI KALI NA MWAROBAINI WA MATATIZO YETU.
Hito thread nadhani imefutwa, siioni
Inawezekana pia wahusika wa hili jukwaa ni majini pia, kwa sababu kila ukiandika kitu chenye maslahi kwa binadamu kinafutwa, ila ujinga una prevail..
 
kwa hiyo mtoa post una maanisha............yule aliyeanzisha thread ya kula kimasihara ni kijukuu cha broo shetan
Mkuu Kwani uongo, tunao hata mm ninao kwenye ukoo, hakuna ukoo hawapo kwa sababu shetani anachotaka ni " uLIPO TUPO", inapofikia wakati wa ndoa vijana wa ukoo wowote ule lazima miongoni mwao watakuwa targeted na hili kundi ili kupandikiza mbegu zao, na kwa kuwa watu tunavigezo vyetu mbali na vya kumuomba MUNGU, hawashindwi wao kuprovide chochote tunachotamani kuanzia usomi, uhandaome, ubeauty, ustaarabu n.k
 
Hito thread nadhani imefutwa, siioni
Inawezekana pia wahusika wa hili jukwaa ni majini pia, kwa sababu kila ukiandika kitu chenye maslahi kwa binadamu kinafutwa, ila ujinga una prevail..
Mbona kwangu kama ipo ngoja nione kama naweza kucopy na kuipaste upya hapa,
 
Hito thread nadhani imefutwa, siioni
Inawezekana pia wahusika wa hili jukwaa ni majini pia, kwa sababu kila ukiandika kitu chenye maslahi kwa binadamu kinafutwa, ila ujinga una prevail..
Sorry, it was intended to be sirikali ila naona inasoma;

SERIKALI NA MWAROBAINI WA MATATIZO YETU.
 
Jiulize swali hili kwanza Je, kwa wale wa mama na wadada waliowahi kupata matatizo ya uzazi na hatimae katika kuzunguka mwisshoni wakajikuta kwa waganga wa kienyeji ma kubahatika kupata watoto huko, je watoto hao kwa asilimia ngapi walitoka kwa MUNGU BABA muumbaji wetu?

Ni dhahiri kuwa dini zote zinazoitwa Abrahamic , yaani waislam , wakristu na dini ya kiyahudi zinapinga shiriki na zote zinakubaliana kuwa shiriki ni ya shetani. Kuna waganga wa kienyeji wanaosaidia watu kwa tiba mbadala , hao hawana tatizo wakimpa tiba ya uzazi mwanamke, ila wale wa tunguli na vitabu , wanaopandisha majini hapana, nachelea kusema kuwa kinachoweza kuzaliwa pale pengine ikawa ni mtoto lakini ni siri ya mganga na shetani maana hapo wanaitwa majini na MUNGU hahusiki kabisa.

Kwa kuwa wanawake wanaendaga huko kwa siri sana jambo hilo shetani ndilo analotaka hasa, maana hataki watu washtukie kuwa kuna majini tunaishi nayo kwenye koo zetu, mitaani, mashuleni, maofisini, misikitini, na makanisani. Majini watu hawa huwa na kazi moja tu , kuendeleza uovu duniani kwa kuwa mifano mibaya kwa wanadamu kwa maneno na matendo. Mara nyingi hujifanya wao ni bora zaidi kwenye jamii na kuwafanya watu wawakubali kuwaongoza katika maeneo mbalimbali kama kwenye dini na serikalini; cha ajabu huwa hawana mema mengi kwa utendaji wao kwa watu zaidi ya akendo za maovu tu ya kuharibia jamii manufaa yake.

Majini watu hawa huongoza kwa ngono, huharibu mabinti, wanaongoza biashara haramu zote, wanaongoza magenge ya uhalifu, wanaongoza freemason na illuminat, wanafundisha watu uchawi , n.k Kama ni daktari lazima awe ndio muiba madawa na mtoa mimba, kama ni polisi lazima awe ndio mshirika wa majambazi na michongo yote haramu, kama ni mwalimu basi atakuwa anakula madent wa kike ovyo sana na wanampenda sana, kama ni mchungaji hivyohivyo kama ni mwalimu wa kwaya hivyohivyo n.k

UNAWAJUAJE...........
Inasikitisha kuwa wale wote ambao hawakupata wake/ waume kutokana na kumuomba MUNGU wengi wameoa/ wameolewa na uzao huu ambao upo duniani tangu enzi na enzi tangu uganga utawale jamii zetu. Wengi wamejikuta kwenye ndoa Ilizojaa usaliti ( japo sio sababu pekee) kwa kuoana na kundi hilo, kundi hilo linajitahidi sana kupata wanadamu ili kuzaa nao ili kuongeza kizazi chao duniani.
Ila siri pekee ya kuwajua bila kufanya maombi wala dua ipo katika MACHO.

MACHO ni dirisha la nafsi zote ni MUNGU mwenyewe ameumba hivyo. Miili yetu ni nyumba tu sisi tumo ndani ya nyumba ndio maana wewe mwenyewe unasema " mwili wangu" na ukifa tunapokuzika tunasema mwili wa marehemu, ww unakuwa umetoka zako. Hivyo nnapoongea na wewe nahitaji kuongea na aliyepo ndani sio mwili wako nnaouona nje, namuonaje aliepo ndani kwa kupitia dirisha yaani macho yako, nikikuamgalia machoni nitajua moyoni kama unafuraha, hasira, chuki, wasiwasi n.k hisia zako nitaziona na hivyohivyo majini watu wanapotazamana na ww ukiwaangalia machoni moja kwa moja na ukawauliza swali hilo kimawazo bila kusema nafsi zao huwa hawawezi kujificha , lazima mara mbili mara tatu utamgundua na akishaona umemjua atakubadirikia kwa kuvua ngozi ya kondoo , ww na yy hamtakuwa kama awali tena, ni sawa na mchawi ukimuona!

Fanya hivyo , jifunze kuwa chunguza watu machoni kwani wanadamu wa ukweli tumepata hasara nyingi sana kwenye biashara, ndoa, elimu, maofisini n.k unajikuta unakubaliana na partner kufanya jambo fuLani lakini anayokuja kukutendea baadae unabaki unashangaa amegeukaje mtu yule!!!!?

Mambo haya ni complex ila najaribu kuzungumzia kwa wwpesi bila kwenda deep ili iwe rahisi kwetu sote kuelewa( i mean sisi binadamu, maana jiwe gizani, utawasikia humuhumu)
Kwa ivo tiba mbadala inatoka kwa shetani na mitume wenu wale wachungaji manabii wanaowashika matumbo wanatoka kwa Mungu?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom