Ukweli kuhusu mlipuko wa Arusha na Mwigulu Nchemba,kwa manufaa ya Watanzania na Wana Arusha ni huu!

Nilijua NIMEKUGONGA IKULU. Na ndio maana umeishia kutokwa povu hata kushinda la mwenye Kifafa! Hii ndio JF. Ukija kama GT utaeleweka tu! Ukija kama wa kutega watu tutakuelewa tu! Na kwa sababu umetokezea kwa style hii, tatizo ni KUBINAFSISHA AKILI. Iwe Sir or Madam all are GENDER.

Njoo kivingine!

Welcome to the JF.

Huna uwezo wa kugonga akili yangu zaidi ya akili za wanaokulala...hujawai kua na hoja hata siku moja na ndio kawaida ya mapunga yote...c ndio mambo ya haki zenu za mlengo wa kilibera...
 
Wa-Tanzania hasa wa LEO wanadanganywa na lugha nyepesi hivi?hujafanya tathmini sahihi,wa-tz wa leo wanajijua,na wanajua thamani ya nchi yao na utu wao,acha porojo za kisiasa,na Kama hauko Arusha,mwambie mtu anayeijua Arusha akwambie siasa za Arusha,huku hatutaki longo longo,ndio maana Mwigulu na wenzie wamepashindwa

Usidharirishe kina Rweymamu wewe Malkia wa fitna na uvurugaji...hakuna Rweymamu asie na uwezo wa kufikiria Kama wewe..acha kutumia majina ya watu haraka!
 
Heading yako umeanza kuwa unaenda kutoa ukweli kuhusu mlipuko wa bomu Arusha na Nchemba matokeo yake umeishia kumusafisha mwigulu Nchemba unaonekana huyo ni mhimu kwako kuliko Arusha na watazania.
 
Bogus to you,simply because am not provide a room dr slaa and mbowe to think onbehalf of me,as you do.
Akili za kuambiwa changanya na zako wewe.

Magamba wamepoteza dira na mwelekeo-source hayati Horace Kolimba, it was just a matter of tym na sasa mnajionyesha dhahiri kupitia matamko ya viongozi wa chm hk mfano sasa 2mechoka wapigwe 2 na mtapigwa sana, mahakama za kaz gan?mzifute 2 maana mmeisha pre-empty kaz zake,unajua presumption of innocence? busara nafikir ni chama hiki kujitazama walopoteleza na jns ya kurekebisha hali hii, dont point accusing fingers at others coz u'r not saints, mfalme akiwa uchi 2tasema waz na cyo kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa, jipange
 
Acha upumbavu wako siku nyingine husituletee huu upuuzi wako nyie ma-ccm ni mauaji tu.... mwisho wenu umekaribia lakini
 
Huna uwezo wa kugonga akili yangu zaidi ya akili za wanaokulala...hujawai kua na hoja hata siku moja na ndio kawaida ya mapunga yote...c ndio mambo ya haki zenu za mlengo wa kilibera...

Ha ha haaaaaaa!!!!!!! Yaani toka ulivyo anza hadi ulipo malizia mada yako, wenye akili walijuwa kwamba hamna kitu. Kwamba ndio wale wale.

Kwa jinsi povu linavyo kutoka wewe ni wao tu, hata utokwe povu kuzidi la kifafa!!!!!!

Wera weraaaaaaa!!!!!! walete haoooo!!!!!! 2015 huku tukisubiria uboreshaji wa daftari la wapiga kura. Mtaisoma T CDM.

Wamekutuma, njoo kivingine. Kawaambie nimewakuta PEOPLES' POWER wazinda kweli kweli.
 
UMASIKINI WA AKILI NI HATARI KULIKO UMASIKINI WA AINA YOYOTE ULIOWAHI KUTOKEA ULIMWENGUNI!

Wewe ni masikini wa akili.

Na ndiyo mlilofanya kwa muda mrefu, but 4 now mjinga akierevuka mwerevu huwa mashakani, mlibank kwenye umasikini wa akili mlowasababishia watz, thngs have changed so mtalia sana, msitafute mchawi nje, kuweni wakweli kwa ushaur wa bure mwangalie mlipokengeuka na jinsi ya kuratify hali hii la sivyo mtakimbia sana kivuli chenu
 
https://www.youtube.com/watch?v=98mE-tYj1bs&feature=youtube_gdata_player
Mwenye akili timamu akifuatilia hii mifano ya hii video huwezi kukubaliana ht kidogo na mada kuu. Ila ni kwa sababu watu walishajenga chuki na na huyu jamaa kwa maana anakipigania chama chake tawala kwa nguvu zote hivyo kwa upande wa upinzani hawawezi furahia. Jamani hz ni maneno ya siasa tu tukivunja hii amani kwa maneno ya uchochezi itakuwa ngumu kuirudisha hivyo jamani tuweze kuzibeba fitina za siasa na si kuzitasfiri vibaya na kuchochea uvunjifu wa amani nchini. Naipenda nchi yangu Tanzania na watu wake wotee
 
Naibu Katibu mkuu(CCM)bara na Mbunge wa Iramba magharibi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba,ambae alikua mmoja Kati ya viongozi wa CCM wa kitaifa,walioshiriki katika kampeni zilizohusisha kata 4 ndani ya manispaa ya Arusha na moja Monduli,ambayo CCM wameichukua tena,amekua mstari wa mbele kunadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo zilizohitimishwa mapema tar 18.7.2013. Kumekua na mengi yaliyo na yanayosemwa dhidi yake,nikiwa mmoja Kati ya wakazi waliofatilia karibu siasa za Arusha na kwa maoni tofauti nikaona ni vema nishiriki nanyi katika habari hii ju ya kweli na yasiyo ya kweli,mwenye ushahidi tofauti awasilishe huo na si matusi.

Ni kweli alidhihirisha mbele za umma wa wana Arusha wa kata zote ju ya ukomavu wake wa kisiasa alionao,kwa kujenga hoja za chama chake,na kueleza wapiga kura na wengineo Yale ambayo chama chake kimefanya na kwa vielelezo.

Wakati akifanya hivyo pia hakuacha ku-refer ju ya upande wa wengine ambao pia walipata fursa ya kujinadi mwaka 2010,kupitia kwenye uchaguzi mkuu,kuaminika kwa wapiga kura kutokana na ahadi zao lukuki kisha kupata fursa za uongozi kwenye jumla ya kata 8 Kati ya 19,pamoja na jimbo la Arusha.alijaribu kuhoji endapo viongozi hao waliwahi hata kutekeleza moja Kati ya ahadi lukuki zilizoelezwa kua zingetekelezeka ndani ya mwezi mmoja! Majibu kwa wapiga kura wa Arusha yalikua HAPANA! Alikua akiendelea kuwakumbusha kua sasa wamekwisha jua chama chenye asili ya utekelezaji na chenye asili ya kutoa ahadi lukuki hewa na kisha kutotimiza.

Ni kweli pia,aliambatana na Yule kijana Musa wa Igunga,ambaye alifanyiwa kitendo cha kinyama na kisicho hata na tone la hofu ya Mwenyezi Mungu,kwa kumwagiwa na tindikali na kisha kutupiwa kwenye miiba,ambapo alifanikiwa kukimbizwa KCMC na baadae Nchini India. Kabla ya kumsimamisha ili naye awasalimu Kama ilivyohaki kwa mwanachama wa chama chochote kupewa nafasi na chama chake kusalimu wapiga kura,hakukua na dhambi katu kwa Mwigulu, kuwaeleza Wananchi maswahibu yaliyomkuta kijana mwenzao na huku akilaani kitendo hiko na kusema kua Tanzania hatupaswi kufika hapo.

Ni kweli,ameeleza bayana kupitia kampeni alizoziongoza kua hawezi kuwapenda "chadema/wana siasa wanaoratibu migogoro kwa vijana/Kada yoyote ile, badala ya kuratibu namna ya kuwasaidia vijana hao/wananchi",alisisitiza mara kwa mara hathari ya kiongozi alieaminika na kupata dhamana ya kuongoza ni vema akajaribu kusimamia namna ya kukabiliana na kero za Wananchi badala ya kuwaongezea kero nyingine kwa kupandikiza chuki ungali unaboresha maisha yako na familia yako na hao waliokufikisha hapo wakiambulia kubaki na fujo pamoja na kuharibiwa watoto wao na biashara zao kuyumba.

Ni kweli,alisema kwa kua chadema wameshindwa kutekeleza waliyoahidi hata kutunza tu yaliyofanyika Arusha,wakati madiwani wao hawaingii bado manispaa!je wana Arusha mtawezaje kupata uwakilishi ju ya kero zilizopo endapo mtawachagua!which is very true!

Ni kweli pia alisema,kuna kila sababu wana siasa kua na utu,uzalendo na nia ya dhati ya kusaidia Wananchi hususan kwenye Yale unayoyasema,akitolea mifano hai mingi ya changamoto zilizopo Arusha mjini bila ya kusemewa.

Si kweli,kua alisema Arusha watakoma wasipoichagua CCM,sababu tukumbuke hata kabla ya uchaguzi huu mdogo kata hizo zilikua kwa CDM,na CCM haikua na cha kupoteza bali Wananchi wa kata hizo na Jimbo la Arusha kwa ujumla,kwa kukosa uwakilishi ndani ya manispaa na bungeni,Tanzania nzima inajua kua hata mbunge Lema hajawai toa mchango wa aina yoyote Kama uwakilishi kwa wapiga kura wake zaidi ya kuendelea kujenga uchumi wake na familia huku Wananchi wakiachwa wakielemewa na matatizo.

Si kweli kua,alichochea kwa maneno kwenye jukwaa lolote,mahali popote,pale ju ya fujo kwa aina yoyote,isipokua kwa wapinzani wa maendeleo Kwao yaliokuwa yakisemwa na Mwigulu na ambayo hua anayasema siku zote,ndani ya bunge na penginepo kwenye ulingo wa kisiasa,yamekua kama miiba ya moto ya inchi 7! Bali kwa wapinzani wa kisiasa Imekua changamoto inayohitaji kujipanga tena kwa ajili ya maboresho.

Nahitimisha kwa kushauri yafuatayo;
1. Ni vema tukawa wana siasa na si wapinzani wa siasa,kwa kuwa wa kweli kwenye ukweli na kusimamia haki palipo na haki.
2.Ni vema Kama GT,Mzalendo wa Nchi ukachukua hatua ya kupigania Nchi badala ya ushabiki.

3.Chama/Viongozi makini ni wale tu wanaoweza kukusanya na si kutawanya watu wake.

4.Si vema hata kidogo,kupotosha wengine kwa maslahi ya siasa za ushabiki,Mahusiano ya aina yoyote,udini,ukabila,ujinsia ama matarajio ya baadae yasioyojulikana hata hatma yake.

5.Hatma ya Tanzania ya Leo ipo ju yako na mimi,tukae tutafakari yapi yatakua matunda ya kutumika kwa uongo!nini hatma ya WATOTO zetu,WADOGO zetu,WAZAZI wetu hata BABU na BIBI zetu baada ya kushiriki kuvuruga amani yetu,kupitia kauli za udini,ukabila na siasa chafu za wana siasa WAROHO! Wanaotuchochea leo!

Ndugu Mtanzania"chukua hatua ya kusimamia ukweli na kupinga uongo hadharani maana laana ya aina yoyote itakayotokana na upotoshwaji wowote ule,hautokuacha,wakati watu wakianza kuchinjana na kubaguana kwa dini AMA makabila yao hakika yote hayo yataandikwa upande wako. Natambua wapo watakaoleta ushabiki katika hili,ila muombe Mungu akusaidie kuchangia kwa hekima.
Idumu Tanzania,Idumu amani yetu na undugu wetu.

Kasimulie huko Lumumba hizi hadithi zako za Sungura na Fisi wewe. Kwanza umejiunga jf siku 2 (13 June 2013) kabla ya kazi yenu ya kifedhuli mlioifanya Arusha 15 June 2013. Ulijiunga siku 2 kabla ya tukio ili baada ya tukio utuletee porojo zako za kujisafisha kama unavyofanya sasa...
 
Katika bandiko lako mkuu umeandika huu mstari na umesema unafuatilia sana hoja za mwigulu.

3.Chama/Viongozi makini ni wale tu wanaoweza kukusanya na si kutawanya watu wake

Swali langu kwako ndugu

Tumemsikia Mwigulu Ndani ya ukumbi wa bunge akisema Chadema ni ya wakristo.

a) Wewe unasemaje? ni cha wakristu

b) Je katika kauli hiyo ya mwigulu inawakusanya watanzania au inawagawa?
Chimba vituz hii post umeiona na kuisoma?.
 
Last edited by a moderator:
Usituletee pumba zako, nani asiyejua hila za CCM juu ya Arusha? Kunyang'anywa jimbo hilo kimewauma sana na serikali imesitisha kupeleka maendeleo kwa makusudi Arusha kisa Lema! Nani asiyejua Lema amekaa bila Ubunge muda mrefu kwa hila na upuuzi wa joka CCM? Leo unatwambia kafanya maendeleo gani wakati mnaleta mizengwe mingi? Kwa kifupi CCM ni wapumbavu wa Siasa kutwa kukomoana wakati pesa ni za Watanzania sio za CCM! Leo nimekuvumilia siku nyingine ukome kuleta mada za kijinga
 
Waulize tabora mkoa mzima wabunge ni ccm na wana wakilishwa sana ila juzi bungeni wabunge wanalia hakuna barabara hata moja ya lami,nao vipi hawana wawakilishi bro?tafakari
 
Naibu Katibu mkuu(CCM)bara na Mbunge wa Iramba magharibi,Mh.Mwigulu Lameck Nchemba,ambae alikua mmoja Kati ya viongozi wa CCM wa kitaifa,walioshiriki katika kampeni zilizohusisha kata 4 ndani ya manispaa ya Arusha na moja Monduli,ambayo CCM wameichukua tena,amekua mstari wa mbele kunadi wagombea wa chama chake katika chaguzi ndogo zilizohitimishwa mapema tar 18.7.2013. Kumekua na mengi yaliyo na yanayosemwa dhidi yake,nikiwa mmoja Kati ya wakazi waliofatilia karibu siasa za Arusha na kwa maoni tofauti nikaona ni vema nishiriki nanyi katika habari hii ju ya kweli na yasiyo ya kweli,mwenye ushahidi tofauti awasilishe huo na si matusi.

Ni kweli alidhihirisha mbele za umma wa wana Arusha wa kata zote ju ya ukomavu wake wa kisiasa alionao,kwa kujenga hoja za chama chake,na kueleza wapiga kura na wengineo Yale ambayo chama chake kimefanya na kwa vielelezo.

Wakati akifanya hivyo pia hakuacha ku-refer ju ya upande wa wengine ambao pia walipata fursa ya kujinadi mwaka 2010,kupitia kwenye uchaguzi mkuu,kuaminika kwa wapiga kura kutokana na ahadi zao lukuki kisha kupata fursa za uongozi kwenye jumla ya kata 8 Kati ya 19,pamoja na jimbo la Arusha.alijaribu kuhoji endapo viongozi hao waliwahi hata kutekeleza moja Kati ya ahadi lukuki zilizoelezwa kua zingetekelezeka ndani ya mwezi mmoja! Majibu kwa wapiga kura wa Arusha yalikua HAPANA! Alikua akiendelea kuwakumbusha kua sasa wamekwisha jua chama chenye asili ya utekelezaji na chenye asili ya kutoa ahadi lukuki hewa na kisha kutotimiza.

Ni kweli pia,aliambatana na Yule kijana Musa wa Igunga,ambaye alifanyiwa kitendo cha kinyama na kisicho hata na tone la hofu ya Mwenyezi Mungu,kwa kumwagiwa na tindikali na kisha kutupiwa kwenye miiba,ambapo alifanikiwa kukimbizwa KCMC na baadae Nchini India. Kabla ya kumsimamisha ili naye awasalimu Kama ilivyohaki kwa mwanachama wa chama chochote kupewa nafasi na chama chake kusalimu wapiga kura,hakukua na dhambi katu kwa Mwigulu, kuwaeleza Wananchi maswahibu yaliyomkuta kijana mwenzao na huku akilaani kitendo hiko na kusema kua Tanzania hatupaswi kufika hapo.

Ni kweli,ameeleza bayana kupitia kampeni alizoziongoza kua hawezi kuwapenda "chadema/wana siasa wanaoratibu migogoro kwa vijana/Kada yoyote ile, badala ya kuratibu namna ya kuwasaidia vijana hao/wananchi",alisisitiza mara kwa mara hathari ya kiongozi alieaminika na kupata dhamana ya kuongoza ni vema akajaribu kusimamia namna ya kukabiliana na kero za Wananchi badala ya kuwaongezea kero nyingine kwa kupandikiza chuki ungali unaboresha maisha yako na familia yako na hao waliokufikisha hapo wakiambulia kubaki na fujo pamoja na kuharibiwa watoto wao na biashara zao kuyumba.

Ni kweli,alisema kwa kua chadema wameshindwa kutekeleza waliyoahidi hata kutunza tu yaliyofanyika Arusha,wakati madiwani wao hawaingii bado manispaa!je wana Arusha mtawezaje kupata uwakilishi ju ya kero zilizopo endapo mtawachagua!which is very true!

Ni kweli pia alisema,kuna kila sababu wana siasa kua na utu,uzalendo na nia ya dhati ya kusaidia Wananchi hususan kwenye Yale unayoyasema,akitolea mifano hai mingi ya changamoto zilizopo Arusha mjini bila ya kusemewa.

Si kweli,kua alisema Arusha watakoma wasipoichagua CCM,sababu tukumbuke hata kabla ya uchaguzi huu mdogo kata hizo zilikua kwa CDM,na CCM haikua na cha kupoteza bali Wananchi wa kata hizo na Jimbo la Arusha kwa ujumla,kwa kukosa uwakilishi ndani ya manispaa na bungeni,Tanzania nzima inajua kua hata mbunge Lema hajawai toa mchango wa aina yoyote Kama uwakilishi kwa wapiga kura wake zaidi ya kuendelea kujenga uchumi wake na familia huku Wananchi wakiachwa wakielemewa na matatizo.

Si kweli kua,alichochea kwa maneno kwenye jukwaa lolote,mahali popote,pale ju ya fujo kwa aina yoyote,isipokua kwa wapinzani wa maendeleo Kwao yaliokuwa yakisemwa na Mwigulu na ambayo hua anayasema siku zote,ndani ya bunge na penginepo kwenye ulingo wa kisiasa,yamekua kama miiba ya moto ya inchi 7! Bali kwa wapinzani wa kisiasa Imekua changamoto inayohitaji kujipanga tena kwa ajili ya maboresho.

Nahitimisha kwa kushauri yafuatayo;
1. Ni vema tukawa wana siasa na si wapinzani wa siasa,kwa kuwa wa kweli kwenye ukweli na kusimamia haki palipo na haki.
2.Ni vema Kama GT,Mzalendo wa Nchi ukachukua hatua ya kupigania Nchi badala ya ushabiki.

3.Chama/Viongozi makini ni wale tu wanaoweza kukusanya na si kutawanya watu wake.

4.Si vema hata kidogo,kupotosha wengine kwa maslahi ya siasa za ushabiki,Mahusiano ya aina yoyote,udini,ukabila,ujinsia ama matarajio ya baadae yasioyojulikana hata hatma yake.

5.Hatma ya Tanzania ya Leo ipo ju yako na mimi,tukae tutafakari yapi yatakua matunda ya kutumika kwa uongo!nini hatma ya WATOTO zetu,WADOGO zetu,WAZAZI wetu hata BABU na BIBI zetu baada ya kushiriki kuvuruga amani yetu,kupitia kauli za udini,ukabila na siasa chafu za wana siasa WAROHO! Wanaotuchochea leo!

Ndugu Mtanzania"chukua hatua ya kusimamia ukweli na kupinga uongo hadharani maana laana ya aina yoyote itakayotokana na upotoshwaji wowote ule,hautokuacha,wakati watu wakianza kuchinjana na kubaguana kwa dini AMA makabila yao hakika yote hayo yataandikwa upande wako. Natambua wapo watakaoleta ushabiki katika hili,ila muombe Mungu akusaidie kuchangia kwa hekima.
Idumu Tanzania,Idumu amani yetu na undugu wetu.

hapo kwenye red unaniacha hoi. mwenzio nimecheka hadi sasa mbavu zinaniuma.
Eh! hebu nikumbushe leo ni tarehe ngapi?
 
Kwanza, si kweli kwamba Lema aliongoza ubunge kwenye kata 8 kati ya 19!
- ukweli ni kwamba CHADEMA ilishinda udiwani kwenye kata 8 kati ya 19 lakini kura za ubunge Lema aliongoza kwenye kata 12 kati ya 19, ya kwanza ikiwa ni Kimandolu, kisha Elerai halafu Sombetini [ambako diwani alitoka CCM.

Pili, si kweli kwamba CCM haikuwa/haina na cha kupoteza kwenye uchaguzi huu wa madiwani Arusha!
- Endapo CHADEMA itashinda kata zote nne, itaiopokonya CCM udhibiti wa halmashauri ya jiji, kwani tayari CCM ilishapoteza kiti cha udiwani kata ya Darajambili [kilichochukuliwa na CHADEMA] na imekimbiwa na diwani wake wa Sombetini [alihamia CHADEMA]

Tatu, si kweli kwamba Lema hajawahi kuzungumzia lolote la Arusha ndani ya Bunge!
- Waulize wafanyakazi wa iliyokuwa Hoteli ya Sabasaba wakueleze ufuatiliaji wa mafao yao umefikia hatua gani na ni nani kaufikisha huko, utajikosoa!

4. Bila kujitambua, CCM inakiri umahiri wa Lema kiutendaji!
- kama ilitarajia aweze kuyatekeleza yote aliyoyaahidi ndani ya miaka miwili iliyojaa misukosuko ya kutengenezwa kwa makusudi na miezi karibu kumi ya kutokuwa mbunge kwa kudhulumiwa!
 
Na wewe unajiweka kwenye group inaweza kureason na kuargue? If yes, basi taaluma hiyo imeingiliwa na kirusi mbaya. Revise your mind, what I see is that you are bogus enough.
namshukuru mungu sijapoteza muda wang kumalzia huu hupuz ulioandkwa hapo juu..sasa kwa taarifa yako wa2 wa Arusha 2najitambua na hata siku moja Arusha hawawez kuongozwa na ccm nyie kama mnataka aman na wananchi wa arusha achen kupgania utajiri wa Arusha..ni bora tufe kwa kupgania hak ye2..wew pamoja na hao walioku2ma wambie Arusha tumejipanga na tunajielewa..nadhan utakuwa ume2soma.
 
Kama hayo unayoyasema ni kweli inakuwaje ndugu na wazazi wa Marehemu waliokufa katika ule mlipuko wa Bomu hawakuitaka Serikali kujishughulisha na mazishi ya Marehemu? kama una akili utapata jibu mtazamo wa jamii kuhusiana na tukio hilo.

Hawakuitaka kwa sababu cdm ilichofanya ni kuwapa watu uwongo mzito wa kuwadanganya kuwa serikali ndiyo chanzo cha maafa kwa hiyo mtu hutegemei kutegemea msaada kutoka kwa serikali yake maana tayari mentality yake iko "corrupted."
Sijui kama unanielewa!?
 
Back
Top Bottom