Sir M.D.Andrew
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 201
- 37
Ukweli ni kwamba serikali ilikopa pesa kwenye mifuko ya jamii hususan PPF/NSSF kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha dodoma,na barabara za mjini DAR,mradi wa kigamboni n.k tatizo lililojitikeza ujenzi haujaisha pesa kwenye mifuko zimeisha na serikali haijaanza kurudisha mkopo huo,wakati huohuo watu wanahitaji pesa zao,ili serikali ipate muda wa kuanza kurudisha mkopo huo na kumaliza miradi yao wakaamua kubadili sheria haraka kupunguza idadi ya watu kuchukua pesa,wabunge wa CCM walipigia upatu sheria hii ili kuokoa serikali ya CCM.