Ukweli kuhusu hali ya mh. Zitto Kabwe - 29 Oct 2011

Pole sana mkuu. Kwa kweli Agakhan si ya kuaminika kabisa. Karibuni tu rafiki yangu kaenda kufanyiwa operation ya mguu, amekwenda kwa miguu yake, wakamkosea kwenye operation na imebidi mguu ukatwe baada ya kuharibika. Sasa ni mlemavu wa maisha.
 
Back
Top Bottom