Ukweli: CCM haina hata Viongozi!

Ndege wanaofanana huruka pamoja .
Wewe na Nicholas ni watu wa kiwango kile kile, mkuu usijipe umaarufu usiostahili, stahili yako waijua mwenyewe.

You are not a Thinker, has never been one, will never be one.
Lala salama.

kwani nani kati yetu katuambia kuwa tumejitangaza kuwa great thinker.Au ni wewe ndio umeona hilo ,ndio unakusanya nguvu za kuikubali hiyo hali.people are here to descuss issue zilizopo katik jamii in a very honest way.
 
Endelea na utafiti wako lakini I am sure we ni mtu wa kutumwa and not otherwise.

walewale wasiogopa utumwa ila nani kawatawala.NI walewale binti yao akipata mimba shule kwao tatizo ni kama hatoolewa na mahari kulipwa.

Ni wale wale wasioamini kuwa fikra za mtu zinaweza mtuma.Kwa vile hwawezi ishi bila Master.Si mara ya kwanza kuishi na watu kama hawa shida zikitokea hakuna wa ku figureout kma kuna solution around.Wao ni kuinua simu na kupiga.
 
Sidhani kama hata matusi una qualify kuwa kiranja wake.Mbaya zaidi watu wenye fikra kama zako huwa ni social salvage.Huo ni urithi wa wazee wenu muwaonao kuwa role models wenu,hayo ndio maneno wayatumiayo katika gahawa na mwisho wa siku kuishia chungualiana mabafuni na kujisfu kwa kuwatumia mashoga.HIyo ndio fahari yenu.Kizazi cha nyoka.Nyie ndio mnaifanya dar isistaarabike miaka yote hii pamoja na kujengwa na watu toka pande zote za nchi na mataifa menngine duniani.

Bado mnadai mgao wa uhuru magengeni, kwani humo ndipo mnapoamini mlitafutia uhuru wa nchi.Kwa laana zenu sasa hivi nyie ndio vipingamizi ila hamtochelewa dai kuwa nyie pia mlishiriki.Kwa ushiriki huu ni wazi mwalimu Nyerere alitumia kaili asana kuweza epuka vikwazo vya unafiki na ugeugeu.

sawa mangi, moshi si ndio imestaarabika?acheni basi kutambika huko makaburini?hamuwezi kuomba makanisani mkapata mnachotaka mkatosheka?
 
umesjili id ngapi kwa ajili ya kazi hii mkuu,naona unapambana kweli kweli

kwani wewe umeona ngapi?Soma my footer halafu tafuta kama hii.Acha side discussions,kama wale akina mama wa uswahilini wapatao tatzio na kuanza jiliza badal aya kuzuia lisiendelee.Wakikumbushwa wanaplay victims kuwa wana huzuni .

Kama umetokea hizi familia sioni ajabu hata mkuu wa kaya kupoteza muda kuwa anafanyiwa hila huku taifa likizama.
 
sawa mangi, moshi si ndio imestaarabika?acheni basi kutambika huko makaburini?hamuwezi kuomba makanisani mkapata mnachotaka mkatosheka?

Hilo linawahusu wao,kwani kupunga mapepo pwani kumeanza leo?kwanini imani isifanya kazi.Sijui kwanini vitu muhimu kifikra vinakuponyoka kirahisi hivyo?nadhani panahitajika additiona test ktk public offices.Wakipima vichaa kwa criteria za milembe,basi waangalia na reasoning patterns za watu.
 
ccm inaangalia maadili ya viongozi wake kulingana na imani zao pia.kama kiongozi anaasi na kusaliti imani yake hafai tena kuongoza jamii pana ya watanzania,kwani ile dhambi ya usaliti itaendelea kumtafuna maisha yake yote

Sasa kama karibu kila mtanzania atakuambia kuwa ni mfuasi wa dini ya karibu hata kama hajui wala kushiriki ibada zake,ina maana CCM itakuwa chama cha kidini ...sasa machepele ya nini kuwa wengine ni wadini?Pengine slaa alikimbia huo udini unaouleza.Hembu tushawishi vinginevyo.
 
NOTICE:
Nawashauri wenye michango tofauti iliyo nje ya mada hapo juu ni vyema wakaanzisha uzi wao au wakatafuta uzi unaoendana na wanachotaka kuandika hapa.
1. Atapata majibu mafupi sana yasiyomtosheza na kudhani kuwa nimemdharau.
2. Ataonekana mvurugaji asiyejua kujenga hoja
3. Ataonekana ni mtu asiyefikiri vyema kabla ya kutumia vidole vyake kuandika

Ili udhihirike kuwa wewe ni mtu mzima ni lazima uuonyeshe umma kuwa wewe ni mtu mzima.. Utu uzima si kutukana majiradi wala kuwakoromea watoto nyumbani.. CCM jifunzeni kujibu hoja acheni kashfa zisizokuwa na maana wala faida kwa chama chenu.
 
Mapema mwaka jana kwenye gazeti la kiingereza la The East African nilipata wasaa wa kupenyeza makala zangu kadhaa ikiwemo iliyojaribu kuonyesha ilipojikwaa ccm. Makala ile ilieleza hata hiki ulichokiandika hapa.. Kuingia kwa 'Mafisadi' ndani ya System ya chama chochote cha siasa ndio huwa ugonjwa wa kudumu wa chama. Baada ya hapo chama huzidiwa na 'Wadudu' hao kwa kuwa huitana na kujengeana vibanda humo kwa wingi na hatimaye chama huzidiwa na ugonjwa huo na kufa. Kifo hicho hutokea pale ambapo waadilifu 'Wawili' ndani ya ccm hupaza sauti na kudhani kuwa bado wako salama. Hapo ndipo wanapohaha kukinusuru chama na wanapokimbilia kwa mfalme wanakuta maneno "Mene mene na tekeli"..

..na peresi!
 
Ni wazi kuwa CCM ni chama kikongwe kulinganisha na Vyama vyote vya siasa hapa Nchini; Ukongwe huu wa CCM umedhihirika hasa miaka takriban saba iliyopita kwa baada ya wengi maelfu kukihama chama hicho.

Waliobaki ndani ya CCM kwa sasa hawana tena Credibillity ya kuitwa viongozi kwa sababu hawaaminiki,Hawajui miiko ya Taifa wala Mila na Desturi za Chama cha Mapinduzi. Tumeshuhudia Baraza la Mawaziri likivunjwa kama mara nne hivi kwa kipindi cha miaka Saba, Tumeshuhudia hata wale ambao ni wateule wa Chama cha Mapinduzi wakiwatusi wananchi kwenye majukwaa ya Kisiasa, Wengine walidiriki kuwachapa viboko waalimu, Wengine wakapigana ngumi kule Arusha (Muulize Ole Sendeka), Wengine wanadiriki kuwatukana waajiriwa (Proffesionals) Matusi ya nguoni hadharani kuwa usomi wake ni wa Degree ya Chupi, Wengine sasa wananyukana kwa kutoleana Bastola kugombea nafasi za 'Uongozi' na wengine kuamua kuwahonga wananchi vitumbua kwa ajili ya kuomba wachaguliwe!..Wengine wanalalamika kupewa nafasi wakiwa wadogo, Wengine kuua kwao si ajabu!.

Kwenye ulingo wa Siasa; Kiongozi yeyote makini akiona haya na mengineyo lukuki yasiyoandikika pengine kuukifu ukurasa huu yanatokea na kuendelea kuzidi angetafakari upya nafasi yake na uwezo wake wa kuongoza na kufanya maamuzi: Maamuzi hayo pekee ndiyo yangeweza kumtofautisha na hao wengine. Lakini ukimya huo wa kiongozi wake mkuu naye unampotezea Credibillity ya kuitwa kiongozi.

Kaka jina lako linafanana na yule aliyetumwa kumuua Chacha Wangwe, naskia ulisomea ujasusi. Leo tupe ukweli ulitumwa na CDM au CCM. Tusije tukakuamini kumbe nyoka. Samahani lakini!!
 
CCM kama CCM kwa maana tuliyokua tunaijua sisi tangia enzi za Mwalimu, is no longer in existence. Kilichobaki ni genge la wapigaji tu. Wengi ya waliojaa mule ni watu wanaotafuta michongo ya wapi pa kupiga na 'nitoke vipi'. Kutwa ni kutengeneza makundi na kujitafutia control. Na katika kipindi ambacho hili genge la wapigaji wa CCM liko madarakani, watanzania tumuombe Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga yaletwayo na CCM na washirika wao katika upigaji!
 
Akili yako ukiizoeza kuona mabaya tu ya nchi hii heri uhamie ughaibuni.

Ile bara bara uliyopata ajali si ilitoka kufanyiwa ukarabati mkubwa.
Na barabara za Singida -Arusha si mpya?
Leo injengwa barabara ya Dodoma -Arusha una habari?

Mkinywa mvinyo mnywe usioharibika!!

Ukianza kuleta hoja hizi jiulize tena, je hizo barabara unazozipigia kelele tumepata value for money? Na je, kwa kipindi choote hicho CCM imekaa madarakani ndo tunastahili. Jibu unalijua, tulihitaji kikubwa zaidi ya hiki, so usilete sifa as if ndo CCM imefanya kitu kikuuuubwa. We deserved much more than this!
 
CCM kama CCM kwa maana tuliyokua tunaijua sisi tangia enzi za Mwalimu, is no longer in existence. Kilichobaki ni genge la wapigaji tu. Wengi ya waliojaa mule ni watu wanaotafuta michongo ya wapi pa kupiga na 'nitoke vipi'. Kutwa ni kutengeneza makundi na kujitafutia control. Na katika kipindi ambacho hili genge la wapigaji wa CCM liko madarakani, watanzania tumuombe Mwenyezi Mungu atunusuru na majanga yaletwayo na CCM na washirika wao katika upigaji!

Kama genge la uporaji la CDM lilivyo, ivi huko CDM kwa mfumo wao wa utawala wa kulimbikiza vyeo vyenye ulaji kwa watu wa Karibu na ndugu wa Mbowe na Slaa unataraji kutakuwa na mabadiliko yeyote. Kama tuna uchungu na ufisadi tudai mfumo bora wa kugawana keki ya Taifa ndani ya CDM kabla hatujawapa ridhaa ya kututawala.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom