My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,498
- 11,492
Changamoto JF Ni kwamba hakuna sehem ya kusave au Bookmark kwa matumizi ya baadae. Nimetafuta na sijawahi kuiona, kama ipo nisaidiwe kujua
Masuala ya usafirishaji yana hela sana binafsi nimefanya kazi na hawa matranspoter wanaopeleka mizigo congo waliopo ilala na kariakoo
Unatumia Web ama App?Changamoto JF Ni kwamba hakuna sehem ya kusave au Bookmark kwa matumizi ya baadae. Nimetafuta na sijawahi kuiona, kama ipo nisaidiwe kujua
Natumia website mkuuUnatumia Web ama App?
Bonyeza Watch. Utachagua uwe unapata kwa email ama bila ya email.Natumia website mkuu
Click hapo nilipozungushia... Hiyo ndio bookmark.Changamoto JF Ni kwamba hakuna sehem ya kusave au Bookmark kwa matumizi ya baadae. Nimetafuta na sijawahi kuiona, kama ipo nisaidiwe kujua
Alafu uiandikie jina usave ili baadae uijue ukiwa inatafuta bookmark fulaniClick hapo nilipozungushia... Hiyo ndio bookmark.
View attachment 2675033
Thanks Mkuu, Hivyo na baadae nikitaka kuona bookmarks zangu nazionea wapi ?Click hapo nilipozungushia... Hiyo ndio bookmark.
View attachment 2675033
Vip mwalimu,akupe kazi uachane na ualimu ?Maisha ni mepesi ukihadisiwa
1. Bofya kulia kwenye mistari mitatu pembeni ya neno "JAMIIFORUMS".Thanks Mkuu, Hivyo na baadae nikitaka kuona bookmarks zangu nazionea wapi ?