Ukwasi unaopatikana kwenye Kampuni za kusafirisha mizigo

Kwa maelezo yako tu inaonyesha kuwa watanzania tukiachana na janja janja, tuna uwezo wa kuendesha bandari zetu na viwanja vya ndege!. Hatuhitaji DPW .... Tunahitaji vifaa zaidi na uzalendo.
Au sio....
 
Changamoto JF Ni kwamba hakuna sehem ya kusave au Bookmark kwa matumizi ya baadae. Nimetafuta na sijawahi kuiona, kama ipo nisaidiwe kujua
Click hapo nilipozungushia... Hiyo ndio bookmark.
IMG-20230701-WA0000.jpg
 
BM ule uzi wako sikuusoma huwa sipo interested na stori za maisha binafsi ya mtu zenye muendelezo. Hapa sasa ndio nimekupata umeelezea vizuri. Kuna jamaa nikiwa fresh graduate akanipa kazi ya muda ya kuwa salesperson wa Air Cargo kilo nalipwa 600 na 5000 ya kila asubuhi. Akili yangu kichwani ikaniambia sijawahi ona salesperson mwenye hela, huwa naona wachomwa jua. Nikaacha sema kuna deal nilikuwa nasikilizia ingawa halikutoka.

Uko kwingine nikaenda kufuatilia kampuni ya C&F nikaambiwa mtaji hata 12M unaanzisha na konakona nyingine ila tatizo ni wateja, hapo uzoefu ni muhimu kama mtaji ndio maana kampuni nyingi zinafungwa au kuuzwa.
 
Thanks Mkuu, Hivyo na baadae nikitaka kuona bookmarks zangu nazionea wapi ?
1. Bofya kulia kwenye mistari mitatu pembeni ya neno "JAMIIFORUMS".

2. Kisha click kwenye jina/avatar lako juu ya neno "navigation" ama chini ya neno "Story of change"

3. Itatokea meneno "Your Account", click mistari mitatu hapo, Itatokea picha hii nilioambatanisha tafuta neno "bookmark" hapo ndipo utazikuta

NB: Unaweza kuzipa majina Bookmark zako wakati unasave hurahisisha kuzipata na kuziweka pamoja zinazofanana lebels
Screenshot_20230701-153823.jpg
 
Back
Top Bottom