ukuda... @TCU.

version001

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
638
1,512
kama na ww upo kwenye hili..((allocated by tcu+course wasnt your choice+haina bumu+ni ngumu..am mean tango+ada kubwa(especialy tuliotupwa IFM frm st.kayumba)+home hakieleweki+kuchoka kitaa+____#))fanya tukutane v
V
HAPAAAA!
 
kaka kama uko dar jaribu kuwaibukia tcu ofisini kwao ili 2pate taarifa za jinsi ya kuconfirm, simu zao hazipatikani,
 
kama na ww upo kwenye hili..((allocated by tcu+course wasnt your choice+haina bumu+ni ngumu..am mean tango+ada kubwa(especialy tuliotupwa IFM frm st.kayumba)+home hakieleweki+kuchoka kitaa+____#))fanya tukutane v
V
HAPAAAA!
mkuu watafute hapa 0712722684 uelekezwe jinsi ya kukohakiki ulipochaguliwa!! jus di it man!
 
hawa jamaaa wameshanitenda tcu nimechaguliwa ardhi kwenye majina ya ardh sipo kuwapigia tcu wananiambia wewe umechaguliwa kweli hapo chuon lakini kama ninataka niende nikaulize chuon hapo inakuaje xaxa
 
mkuu watafute hapa 0712722684 uelekezwe jinsi ya kukohakiki ulipochaguliwa!! jus di it man!

Nadhani hawa jamaa hawapo serious sababu ni zaidi ya mara5 unawapigia bt no response..
Walipotoa hayo majina ka wangetoa maelekezo jinsi ya kuconfirm hzo allocation ingependeza zaidi
 
:yawn::yawn::yawn::yawn::alien:.......jamani me cjajua jinsi ya kukonfirm hyo allocation yao.....any one with solution?????
 
jamani mbona majina ya wale waliopelekwa kwenye vyuo ambavyo awakuomba maelezo ayajakamilika jinsi ya kufanya mabadiliko
 
Maelezo mbona yamekamilika mkuu umeambiwa ulogin kwenye account yako alafu ufanye uchaguzi upya na program utakazo tumia ni zile zenye available slots zilishakua listed...fanya hivyo mkuu baadae usije kuanza kulalama tena...
 
don't mislead - pale ni orodha ya majina tu bila hayo unayoeleza. Hawasemi feedback uipeleke wapi ambako utapata jibu la haraka - TIME IS BAD!!!
 
Back
Top Bottom