Uktongoza Dumu Student First date Anakuja na Marafiki zake! hata 10 why?

Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date anakuja na marafiki zake kuanzia wawili hadi kumi!

Sielewi kama huwa wanakuwa na dhamira gani, kwani kama ndio umemuita sehemu kwenye kihotel mje mtalk kubadilishana maneno mawili matatu na uwongo mwingi na sababu zilizokufanya umuite na mfukoni unakuwa na vifedha vyako kiduchu huku ukiamini hicho kihotel saizi na Student na wewe.

Time zikifika utamuona anaingia na jeshi lake huku akijidai na kuwatambulisha washikaji zangu hawa huyu fulani yule nanihii nk hadi anawamaliza kisha anakuja na kwako jamani huyu ndio shemei yenu wa pekee.

Ukianza kujiwazia leo siku ya kuumbuka imewadia huku unajipa moyo hawa nawazungushia round moja nadhani watasepa ukiona hakuna dalili za kuondoka jifanye unaenda chooni na utokomee huko huko demu si saizi yako ni mchunaji. Swali linakuja kwa nini huwa Wengi huwa hawaji peke yao.

Fataki wewe... unatongoza vitoto vya chipsi mayai unategemea nini? hebu jenga mazoea ya kutongoza watu waliokomaa akili uone kama atakuja na mtu... eh mpaka leo bado mnadate vitoto vya kubebana kama msafara wa siafu?? hayo mambo ya kilongi kweli ckujua kama yanaendelea hd leo! anwy hiyo ndio gharama ya cheap labour ... bure ghali kaka!!
 
Ni kweli bana,mimi enzi zangu shule/chuo akija na rafiki yake nae namtongoza akitoa nafasi hata dakika 5.Wakawa wanaambizana mwishowe nikiita mtu anakuja peke yake.Wakija zaidi ya wawili nawaacha pale na bili silipi.
Hapo Ulimuweza Cha muhimu Pesa uwe nazo za Kutosha yaelekea hukukamuliwa Fresh!

...achana na madenti wengi wao wanakosa confidence once ukidatte nae soanatafuta kampani. Na pia wengi wao wanakuwa influenced na rafiki zao kwa mfano kama atakuja na mwezi/wenzie na wakawa na negativeimpression kuhusu wewe ujue umemkosa huyo. Niliwahi kudate na dent wa CBE Dodoma 1st day wakaja 4 bahatii wallet ilikuwa imara nika-manage. Nilipofanikisha nilimuuliza mdau kwa nini 1st date alikuja na wenzake wanne. akanipa hiyo lack of confidence na kupenda friends waku-assess na kutoa comments zao ili kama ni kimeo asichekwe!!
Ulivumilia Mchizi Kichizi! lakini nadhani uliumia sana moyoni!

tena sio lifataki tu ila ni buzi ambalo halina mipango ya fedha zake kazi kuzigawa kwa watu wasio na faida wala shukran. period
Fataki wanaanzia umri gani kwani? Pesa si Tatizo mbele ya Mwanamke kama yeye ndie atazitumia na si mwingine zaidi ya mlengwa.

jua ya kuwa amegundua una nia mbaya dhidi yake kwa hiyo kaja na jeshi la kumlinda na uovu uliomwandalia mwenzio................vinginevyo amekuja kukuchuna vilivyo au kuthibitisha kwa ushahidi wa yale ambayo amekuwa akiwanongoneza wenzie dhidi yako.........huku akiwatambia ya kuwa kumbe unamzimiazimia vile na wenzie wamekuwa wakimbishia sasa anathibitisha mbele yao.....usighafilike chunguza ujua nia yao ni ipi kabla ya kulalama......

Ndio nachunguzia hapa jf na nishapata mwangaza Sante mkuu...

ndio ukome,wanafunzi wa nini na wewe?
Wanataka wenyewe! nishawakimbia hata hivyo...!

[h=2] Uktongoza Dumu Student First date Anakuja na Marafiki zake! hata 10 why?[/h]
Hello Vivian

kwanin utongoze wanfunzi your not a good boy?
Sometime unahitaji kuongeza Vitamin x

Ita huduma bili kwao, uwe makini kumpa taarifa Bar man au bar maid

Lazima ujifunze ukauzu.
Imekaa poa poa kama Ng'ambo vile Ndio Inavyokuwa hata Waje Ukoo Mzima WAkiwa wametoka Kitchen Party Wanajihudumia wenyewe! ila Bongo mh!
 
Fataki wewe... unatongoza vitoto vya chipsi mayai unategemea nini? hebu jenga mazoea ya kutongoza watu waliokomaa akili uone kama atakuja na mtu... eh mpaka leo bado mnadate vitoto vya kubebana kama msafara wa siafu?? hayo mambo ya kilongi kweli ckujua kama yanaendelea hd leo! anwy hiyo ndio gharama ya cheap labour ... bure ghali kaka!!
Haha Mahunga kwani Sometime wanakuja kama ajali tu tena huwa na moto kweli kweli Mkipiga piga story kidogo anachomeka maneno ya uvumbuzi na mara anapiga kizinga so utajua tu huyu....! kaja sasa utaacha kum date? Rose Muhando yalimshinda akaomba Mungu Ampe Uvumilivu!

Mwanamme Ni Ngumu Kumkatalia Mwanamke na Mwanamke akiwa anamtafuta mbinu zake anazionesha wazi ili umedondokee.. Wanafunzi si wote wadogo kuna wa chuo ni wakubwa kabisa hao oi oi oi...
 
Ni kweli ata mimi ni grown up huwa nikiitwa am going with my friend maana najua I won't be comfortable will need sm1 buutttt second date will handle
 
Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date anakuja na marafiki zake kuanzia wawili hadi kumi!

Sielewi kama huwa wanakuwa na dhamira gani, kwani kama ndio umemuita sehemu kwenye kihotel mje mtalk kubadilishana maneno mawili matatu na uwongo mwingi na sababu zilizokufanya umuite na mfukoni unakuwa na vifedha vyako kiduchu huku ukiamini hicho kihotel saizi na Student na wewe.

Time zikifika utamuona anaingia na jeshi lake huku akijidai na kuwatambulisha washikaji zangu hawa huyu fulani yule nanihii nk hadi anawamaliza kisha anakuja na kwako jamani huyu ndio shemei yenu wa pekee.

Ukianza kujiwazia leo siku ya kuumbuka imewadia huku unajipa moyo hawa nawazungushia round moja nadhani watasepa ukiona hakuna dalili za kuondoka jifanye unaenda chooni na utokomee huko huko demu si saizi yako ni mchunaji. Swali linakuja kwa nini huwa Wengi huwa hawaji peke yao.

Je, mwishoni uwa unaona ndani? Dawa yao ni kuwatafuna wote hao mmoja baada ya mwingine!
 
Ni kweli ata mimi ni grown up huwa nikiitwa am going with my friend maana najua I won't be comfortable will need sm1 buutttt second date will handle
Haha Thanks Jeni hapo umenena maana nilikuwa najiuliza ni kwanini? Na hebu niambie kuna wasichana wengine huenda zaidi ya wawili inakuwa too much hata Date inapoteza muelekeo inageuka kikao!

Kama unakuja na someone Sikuwezi nawe pia
 
...achana na madenti wengi wao wanakosa confidence once ukidatte nae soanatafuta kampani. Na pia wengi wao wanakuwa influenced na rafiki zao kwa mfano kama atakuja na mwezi/wenzie na wakawa na negativeimpression kuhusu wewe ujue umemkosa huyo. Niliwahi kudate na dent wa CBE Dodoma 1st day wakaja 4 bahatii wallet ilikuwa imara nika-manage. Nilipofanikisha nilimuuliza mdau kwa nini 1st date alikuja na wenzake wanne. akanipa hiyo lack of confidence na kupenda friends waku-assess na kutoa comments zao ili kama ni kimeo asichekwe!!

hahaha Sajenti inabidi upande cheo kwa kumanage hao watoto ni noumer...
 
Back
Top Bottom