Ukraine wakomboa vinu vya mafuta na gesi, Boyko Towers. Warusi wakimbia mapambano na kuvitelekeza

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,657
48,436
Historia itaandikwa na kusomwa miaka 100 jinsi Urusi ilijitia aibu kwenye huu ugomvi, wanajeshi wa Urusi wamejichokea baada ya kufa zaidi ya laki mbili kwenye kainchi kadogo hapo pembeni, wanapambania ardhi ambayo wenyewe hawana haja nayo......
Walikua wamejichukulia vinu vya gesi, vimewatoka puani.....

Defence Intelligence of Ukraine has said that Ukraine has regained control of gas and oil drilling platforms near occupied Crimea, known as the Boyko Towers.

Source: Defence Intelligence of Ukraine (DIU)

Details: The Boyko Towers are gas and oil drilling platforms off the coast of Crimea in the Black Sea.

Russia occupied the Boyko Towers in 2015, and it has been using them for military purposes since the beginning of the full-scale invasion, specifically as helicopter landing sites and for the deployment of radar equipment.

Quote from the Defence Intelligence: "A unique operation to establish control over the Boyko Towers has been carried out by Defence Intelligence of Ukraine. In particular, the Petro Hodovalets and the Ukraine drilling platforms, as well as the Tavryda and the Syvash jack-up drilling rigs [self-elevating drilling units - ed.] were returned to Ukrainian control.

During the operation, special forces personnel managed to capture valuable trophies: a stockpile of helicopter munitions such as unguided aerial missiles, as well as the Neva radar system, which can track the movement of ships in the Black Sea.
 
Hao wameingia kwenye mtego watalizwa soon.
 
Alafu ni wajinga tu hawaelewi hao Ukraine wasaidia na Marekani.
 
Ukraine wanatembeza kichapo mpaka nakosa hamu ya kula kwa sababu ya furaha.., kawaida yangu nikiwa na furaha sana hamu ya kula inapotea

Nakazia hii habari

multi-phase operation involved a battle between Ukrainian special forces on boats and a Russian SU-30 fighter jet, Ukraine's Military Intelligence said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ukraine wamebakiza siku 30 tu baada ya hapo hawatakuwa na uwezo wa kuendesha vita.
 
Ukraine wanatembeza kichapo mpaka nakosa hamu ya kula kwa sababu ya furaha.., kawaida yangu nikiwa na furaha sana hamu ya kula inapotea

Nakazia hii habari

multi-phase operation involved a battle between Ukrainian special forces on boats and a Russian SU-30 fighter jet, Ukraine's Military Intelligence said.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia walitaka kutanua hivi vita mpaka Poland kupitia Belarus,kuwatumia Wagner mercenaries Lakini kwa mziki waliouona Ukraine,kuwachokoza NATO,ndio ingekuwa ni mwisho wao🤔
 
,
Screenshot_20230911-174451.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nipo Ukraine Urusi no. Putin kwisha habari yake yatamkuta ya Gadaff na Saddam.
Umeandika hivi bila kutumia akili hakuna wa kumgusa putin .ni rahisi biden au zelisky kuuawa lakini sio putin kwa sababu Russia sio Ukraine wala Marekani.
 
kwamb ww mwelevu ndo hujui kuwa Urusi iliivamia Ukraine ? tena ni mara ya 5 ktk historia
Amevamia Kwa sababu ya NATO au Marekani.urusi hawezi kuamua kuingia vitani na ndugu zake Ukraine hivihivi wale ni ndugu kabisa.marekani walikuwa mpaka na maabara haramu Ukraine.na maeneo yaliyochukuliwa ni maeneo halali ya urusi ukiangalia historia.kwa kifupi Ukraine haitaweza kuwa chini ya NATO kame kwa sababu ile ni kama urusi ndogo.
 
Back
Top Bottom