MPANDA Jr
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,295
- 157
tumaini makene hatukushangai manake tuna uzoefu na watoto wengi wa nje ya ndoa huwa wanavichwa vigumu sikuzote,naww ni kati ya wachumia tumbo
Matusi yanatoka wapi bro? Kwani ndoa ni chupa, kwamba wanandoa ndo wanakaa humo? Hebu jielekeze kwenye ufafanuzi yakinifu alioutoa Makene, tena ametupatia mpaka sehemu ya maoni ya KUB Mbowe... Vijana wa Lumumba badiliken, mnakera sana.