Ukosefu wa ajira kwa Vijana: Lowassa atabiri vita Tanzania...

Maneno yenu ni yale yale kila siku tena kwa style ile ile.....hii ni dalili ya kukosa hoja na kufuata mkumbo.

Naona kauli ya mh lowassa inawatesa
,na bado mtalia sna,nadhn nyie ni kati ya wale watakaohamia sudani subirn mtaona,lowassa hana ujanja ujanja
 
Unaishi nchi gani ? Yaani unauliza nanii ya mbwa wakati mkia unauona!

naishi arusha cjaona mgao wa umeme siku nyingi, hata hivyo kama upo mgao siyo mkali kama wakati ule wakitegemea bwawa! Mitambo imesaidia sana, na gesi ndo itamaliza kabisa hadi tatizo la bei.
 
Tatizo la ajira ni kwa nchi zote duniani lakini kwa hapa kwetu serikali inatakiwa iweke mazingira ambayo hata kama kijana anataka kujiari aweze kujiajiri na hii haswa ni kuhakikisha benki zetu zinaweka mazingira ambayo vijana wanaweza kupata mikopo. Sekta isiyo rasmi ina uwezo wa kutosha kabisa kutoa ajira kwa vijana kwa sasa kama mazingira yataboreshwa!
 
Hakuna mahali ambapo Mwenyekiti Mbowe alitaja jina la Lowassa katika mchango wake. Hiyo ni tafsiri ya gazeti moja leo.

Tena kwenye mchango wake Mwenyekiti Mbowe aliposema kuwa ajira kwa sasa tayari ni janga la taifa akitumia mfano wa ile interview ya Uhamiaji, alikwenda mbali na kuonesha namna ambavyo Serikali ya CCM haiwezi kutatua tatizo la ajira, ijiandae kuondoka madarakani mwaka kesho ione wapinzani wa leo wakikamata nchi mwaka kesho watakavyoweza kuibadili nchi.

Akaongeza kuwa upinzani wanayo mawazo mbadala ambayo wamekuwa wakiyatoa kila siku, lakini kwa sababu Serikali ya CCM imechoka, imekuwa haiwezi kupokea Mawazo mapya tena.

Kama haitoshi akasema madam upinzani hawajaingia serikalini wataendelea kutoa maoni yao kwa ajili ya manufaa ya nchi na Watanzania wote, hivyo ni jukumu la walioko madarakani kupokea au kuacha.

Akaonesha uongozi zaidi kwa kuonesha njia mbadala ya namna ambavyo halmashauri nchini zinaweza kuzalisha ajira kati ya 5,000 hadi 10,000 kila mwaka badala ya kutegemea Central Govt ifanye kazi hiyo kwa kila kijana wa Kitanzania kutoka kila kona ya nchi nzima. Central govt ambayo tayari ndiyo imetufikisha hapa na imechoka.

Serikali hiyo iliyochoka ndiyo ambayo Lowassa amekuwa sehemu yake na hakuwahi kutoa alternatives ya kutatua tatizo hilo ambalo amekuwa sehemu ya kulikuza na kuliatamia.
Tumaini makene nyie wale wale kasoro tar
hakunaga hata siku moja wewe umeamin habar yeyote
nadhan hata yule baba yako wa kambo huamini kama ni baba yako,ila subir muda utasema
 
Tatizo la ajira si Tanzania ni pekee ni karibia Dunia nzima,cha msingi ni serikali kurudisha mfumo wa elimu ya kujitegemea,hii itasaidia sana ktk kuwapa vijana wetu elimu itakayowafanya kujiajiri na si kama sasa waliowengi wanategemea ajira toka serikalini pekee
 
Hahahah naona leo CCM mmeamua Lowassa asafirie nyota ya Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe. Kwel mnadhihirisha Lowassa amechoka.

Anyway... Hakuna mahali ambapo Mwenyekiti Mbowe alitaja jina la Lowassa katika mchango wake. Hiyo ni tafsiri ya gazeti moja leo.

Tena kwenye mchango wake Mwenyekiti Mbowe aliposema kuwa ajira kwa sasa tayari ni janga la taifa akitumia mfano wa ile interview ya Uhamiaji, alikwenda mbali na kuonesha namna ambavyo Serikali ya CCM haiwezi kutatua tatizo la ajira, ijiandae kuondoka madarakani mwaka kesho ione wapinzani wa leo wakikamata nchi mwaka kesho watakavyoweza kuibadili nchi.

Akaongeza kuwa upinzani wanayo mawazo mbadala ambayo wamekuwa wakiyatoa kila siku, lakini kwa sababu Serikali ya CCM imechoka, imekuwa haiwezi kupokea Mawazo mapya tena.

Kama haitoshi akasema madam upinzani hawajaingia serikalini wataendelea kutoa maoni yao kwa ajili ya manufaa ya nchi na Watanzania wote, hivyo ni jukumu la walioko madarakani kupokea au kuacha.

Akaonesha uongozi zaidi kwa kuonesha njia mbadala ya namna ambavyo halmashauri nchini zinaweza kuzalisha ajira kati ya 5,000 hadi 10,000 kila mwaka badala ya kutegemea Central Govt ifanye kazi hiyo kwa kila kijana wa Kitanzania kutoka kila kona ya nchi nzima. Central govt ambayo tayari ndiyo imetufikisha hapa na imechoka.

Serikali hiyo iliyochoka ndiyo ambayo Lowassa amekuwa sehemu yake na hakuwahi kutoa alternatives ya kutatua tatizo hilo ambalo amekuwa sehemu ya kulikuza na kuliatamia.

Mbowe alionesha kwa facts namna ambavyo muundo huu wa utawala tukionao ambao Lowassa amekuwa sehemu yake na anausapoti kwa matamanio yake ya kutawala (si kuongoza) hauwezi kumaliza tatizo la ajira bali utaendelea kulikuza tu kwa sababu hakuna mkakati wowote ambao unawekwa kushughulika na tatizo hili ambalo alisema tayari ni janga la taifa kwa kutumia mfano huo wa interview ya uhamiaji ambayo ni dalili ya tatizo kubwa kati ya mengi ambayo yameshawazidi uwezo CCM.
 
Naona leo unatembelea kila uzi unaomuhusu lowassa,lakin tmbuwa lowassa ameshakubalika na watanzania wote,kwahyo jaribu kuzunguka nchi nzima kumpinga lowassa sio hapa jamii tu anakubalika
 
Huyo fisadi anatafuta attention kwa gharama zozote.Alipokua waziri mkuu alifanya nini zaidi ya kuzidisha tatizo la ajira kwa kuingiza nchi gizani kupitia Dili lake la RUCHMOND na uzalishaji kupungua huku vijana wengi wakiachishwa kazi viwandani ili viwanda visipate hasara? Leo hii watoto 16,500 wameshindwa kujiunga kidato cha tano.Mradi wake wa shule za kata ulioendeshwa bila kuwa na mtaaala wa elimu hakuona kuwa nao ni tatizo?

Hebu huyu mzee aache unafiki yeye na chama chake aseme wahusika wa RICHMOND ni akina nani kwanza
 
Una ushahidi wa ufisadi wa Lowassa? au na wewe unaishi kwa porojo!
 
Huyo fisadi anatafuta attention kwa gharama zozote.Alipokua waziri mkuu alifanya nini zaidi ya kuzidisha tatizo la ajira kwa kuingiza nchi gizani kupitia Dili lake la RUCHMOND na uzalishaji kupungua huku vijana wengi wakiachishwa kazi viwandani ili viwanda visipate hasara? Leo hii watoto 16,500 wameshindwa kujiunga kidato cha tano.Mradi wake wa shule za kata ulioendeshwa bila kuwa na mtaaala wa elimu hakuona kuwa nao ni tatizo?

Hebu huyu mzee aache unafiki yeye na chama chake aseme wahusika wa RICHMOND ni akina nani kwanza

Naona ben lowassa amekuvuruga
lakin tambuwa lowassa hazuiliki tena,si unaona bosi wako mbowe hawara yake na joyce mukya amekubaliana na upepo halis,amejitahidi kukinzana na upepo wa lowassa akaona yanini kujifia ameamuwa kunyosha mikono juu kusalimu amri
 
Ni Wapumba.vu tu wanaofikiri kwamba UKOSEFU wa AJIRA kwa VJANA wetu is NOT A TIME BOMB! simply because kwakuwa tatizo hilo limesemwa na Mbowe au Lowassa. Huu ndiyo ukweli ukosefu wa ajira kwa vijana is A TIME BOMB. Tuache haya majibu rahisi ya wanasiasa waliochoka kufikiri eti vikjana wajiajiri bila kuwawakea mazingira ya kujiajiri kama vile MIKOPO/MITAJI, UJUZI, etc. Sasa baada ya Lowassa kuliona hili tatizo na kuendelea kuliimba kila uchwao, tunaomba Lowasaa kama president candidate mtarajiwa wa CCM, yeye ana maono/mikakati gani ya kulitatua tatizo la ajira akiwa ndani ya CCM, chama kilicho create hili tatizo. Lowassa asiishie kuimba tu tatizo la ajira, aseme pia na solution mujarabu ya tatizo la ajira.
 
naishi arusha cjaona mgao wa umeme siku nyingi, hata hivyo kama upo mgao siyo mkali kama wakati ule wakitegemea bwawa! Mitambo imesaidia sana, na gesi ndo itamaliza kabisa hadi tatizo la bei.

Labda tajiri wa monduli(Richmond) tanesco inamwogopa yaani dar ni noma hata hivyo umeme wenu Ndogo nisawa na wakuudumia majengo matatu ya hifadhi ya jamii Pspf Nssf Ppf
 
Ni kweli angalia wiki iliyopita idara ya uhamiaji kulikuwa na nafasi 70 lakini waliofika kwenye uasili karibu ni vijana 10,000. je unategemea nini kitatokea zaidi ya hapo? serikali inatakiwa kuwaanda vijana jinsi ya kujiajiri kuliko kutegemea kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom