Ukoo wa marealle waandamwa na dhambi ya kupenda madaraka

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
The clan of the late paramaount chief Thomas Marealle of the chagga tribe has announced December 28 2011 as the day when the clan will choose its new family leadership as well as select a replacement for the late chief Augustine Marealle who passed away on may 28 2006.

In meeting held in marangu in moshi Rural District in the presence of journalists,the clan categorically rejected claims by Mr Frank Marealle,a busnessman and one of chief Augustine Marealle's younger brothers that he is the heir to the marangu chiefdom.
But according to the family,the matter has yet to be decided upon and no decision will be made until the full clan meeting in Dec.
Speaking on the clan's behalf the acting chairman and first son of the late chief marealle,Mr Teddy Marealle dismissed as unfounded claims by frank that has been chosen by the marangu people to inherit the throne.
He said that frank's campaign to be bestowed as chief ran contrary to chagga customary practise whereby a chief's position is normally inherited by one of his children and not a relative.
"we have received information alleging that frank has been holding unofficial meeting and claiming that the people of marangu have chosen him to inherit chief Augustine as the new marangu chief and that preparations to anoint him were underway.All these claims are false and unfounded" Teddy claimed.

Source:DAILYNEWS
 
hivi bado wanatambulika kikatiba?nakumbuka nyerere hawakuwapenda hawa?
babu yangu alikuwa chiefu kule machame,nyerere alimpa shida sana
 
Chifu wa wachaga? Hawa Marealle are not in tune with the reality. Familia za machifu wengine wa kichagga walisha-move on. Shangali, Mangi Sina, wote hawa husikii wanafamilia wakijikweza kuwa wao ni machifu. Lakini Marealle tena miaka hii ya karibuni wameibuka na huu upuuzi. Na sasa bila aibu wanataka kusema wao ni chifu wa wachagga yaani wachagga wote; Rombo, Machame, Uru, Kibosho. Labda huko Marangu kwao watakubaliwa lakini wasijaribu kupeleka hayo makengeza machame na kibosho watatolewa utumbo!
 
Chifu wa wachaga? Hawa Marealle are not in tune with the reality. Familia za machifu wengine wa kichagga walisha-move on. Shangali, Mangi Sina, wote hawa husikii wanafamilia wakijikweza kuwa wao ni machifu. Lakini Marealle tena miaka hii ya karibuni wameibuka na huu upuuzi. Na sasa bila aibu wanataka kusema wao ni chifu wa wachagga yaani wachagga wote; Rombo, Machame, Uru, Kibosho. Labda huko Marangu kwao watakubaliwa lakini wasijaribu kupeleka hayo makengeza machame na kibosho watatolewa utumbo!

mzee FJM neno makengeza limeniacha hoi
 
this is mockery , cheo hichi ni cha ubishooo tuu kwa sasa hivi, politically , economically and socially this tittle has no any function nor does not benefit in any community

acha marealle waendelee kushoia
 
  • Thanks
Reactions: FJM
this is mockery , cheo hichi ni cha ubishooo tuu kwa sasa hivi, politically , economically and socially this tittle has no any function nor does not benefit in any community

acha marealle waendelee kushoia

niliwahi kusikia eti kule Nigeria hiyo title ya "chief" wengine wanailipia tena kwa mapesa mengi tu
 
wamarangu nao watakuwa wajinga watupu kama watawasikiliza hawa. Mi nafikiri wanatafuta mzee wa ukoo hapa na siyo Chifu tena kwani uchifu utawasaidiaje wachagga au tuseme Wamarangu tu. Hawa jamaa ni wasomi na sikutegemea waje na hoja mufilisi kama hii mi nimewadharau sana kwa sababu huo uchifu hauna impact yoyote kwa wachaga.Kwa msiojua historia naomba niwaeleze kwamba huyu mzee Marealle aliukataa Uhuru wa Tanganyika na kutomtambua Nyerere ili eti aendelee kutawala Wachagga akiwa kibaraka wa wazungu. Na alimwambia Nyerere uhuru uwe sehemu nyingine na siyo kwa Wachagga ndipo Nyerere akataka kumkamata akakimbilia nje ya nchi mpaka aliporudi miaka ya nyumba baada ya hali kutulia.Sasa yale yale mapepo ya madaraka ya baba yao bado yanawaandama hawa watoto na sijui wanataka nini mi naona wanataka kuwa chifu wa ukoo wao kwani akija kwetu Machame watamshangaa. Kwanza Chifu for what? anaweza kujenga hata Kilometa Moja ya barabara, au darasa moja?. watu wamekosa kazi za kufanya wanatafuta vitu rahisi rahisi.
 
wamarangu nao watakuwa wajinga watupu kama watawasikiliza hawa. Mi nafikiri wanatafuta mzee wa ukoo hapa na siyo Chief tena kwani uchief utawasaidiaje wachagga au tuseme Wamarangu tu. Hawa jamaa ni wasomi na sikutegemea waje na hoja mufilisi kama hii mi nimewadharau sana kwa sababu huo uchifu hauna impact yoyote kwa wachaga.kwa msiojua historia naomba niwaeleze kwamba huyu mzee marealle aliukataa Uhuru wa Tanganyika na kutomtambua Nyerere ili eti aendelee kutawala Wachagga. Na alimwambia Nyerere we tawala sehemu nyingine na toa uhuru sehemu nyingine na siyi kwa Wachagga ndipo Nyerere akataka kumkamata akakimbilia nje ya nchi mpaka aliporudi miakaya nyumba baada ya hali kutulia.Sasa yale yale mapepo ya madaraka ya baba yao bado yanawaandama hawa watoto na sijui wanataka nini mi naona wanataka kuwa chief wa ukoo wao kwani akija kwetu machame watamtoa berenge


hivi unafikiri nani ataunga mkono idea finyu kama hizi,mimi naona wanatingisha kiberiti
 
Bado najiuliza iwapo kuna maslahi wanapata kutoka nje ya nchi yanayofanya wagombee uchief kiasi hiki.
 
Hivi katika dunia hii ya technolojia faida wanayopata kutokana na huu uchifu ni nini?Au kuna kodi watakua wanalipwa na wamarangu?au wakati wa mavuno watakua wanaenda kupelekew vyakula na wamarangu?kuna siri gani hapo?
 
Hivi katika dunia hii ya technolojia faida wanayopata kutokana na huu uchifu ni nini?Au kuna kodi watakua wanalipwa na wamarangu?au wakati wa mavuno watakua wanaenda kupelekew vyakula na wamarangu?kuna siri gani hapo?
mawazo mgando tuuu kwa sasa cheo hiki hakina mpango wowote yaani ni upupu mtupu hizo hela ya kujitangaza magazetini wangefanya mradi wa maana huko kiraracha khaaaa.
 
waende kulya!!!!!!!!!!..... uchifu uchifu ndo nini!!!. hii tabia ndo inafanya hata watu wa huko marangu kujisikia wako juuuu sana. zama hizi bado wanashoiya tu na mambo hayo. hivo tutegemee yale mambo ya kichief sio... akimpenda nkeo anatuma watu wanamfuata unabaki hola. akiona ng'ombe mnono kwako jioni wanamfungua kesho yake kitoweo. Hahahahahhahahhaha wakusanyane huko uk na kwengineko waliko ndo waanzishe hio kitu huko. kwa sasa haifit.. tena waseme ni chief wa ukoo wao tu na sio wachaga aaaala:A S 114:
 
Mie siamini kama hii ni news kwa isiyowahusu.
Kwa sie Wamarangu ni ishu kubwa, na ni dalili ya kutaka kuturudisha nyuma.
Hatujahusishwa, hatutambui.
Ni bora wamuite ni chifu wa ukoo wao, itakuwa vizuri sana, itasaidia kutunza, mila desturi, na utaratibu wa familia/ukoo husika.
LAkini kumuita chifu wa wachaga, kwanza hilo jina hakuna, chifu ni jina la kiingereza, na kundi husika lililoongozwa na huyo chifu, limeshasambaratika, Wachaga kama kabila tulikuwa, au tuna kiongozi anaeitwa Mangi tu.
 
this is mockery , cheo hichi ni cha ubishooo tuu kwa sasa hivi, politically , economically and socially this tittle has no any function nor does not benefit in any community acha marealle waendelee kushoia
Umenichekesha sana na "kushoia" itabidi ulifafanue maana wengine watatoka kapa
 
Back
Top Bottom