Ukoo wa mareale wachapana makofi kugombaniaa umangi

Hivi Mbowe si Marangu! Wachagga wanapenda vyeo sana sijui kwa nini, ata ukiangalia wenyeviti wengi wa vyama vya siasa ni Wachagga
mnatamani mtuuue sie wachaga jamani sijui tumewakosea nini watu wa lumumba? kha
 
Frank Marealle ameangalia kule juu akagundua hakuna uongozi ni bora awaongoze watu wake. Big up Frank kikwete alishaingia mitini wee kazania hiyo Marangu ili iendelee kusonga mbele. Make sure watoto wote wa Marangu wameingia English Medium kuanzia daycare hadi chuo kikuu. We need leaders because we are tired with this jokes doing nothing there at magogoni.
 
Back
Top Bottom