Ukomo wa mtoto kubemendwa ni miaka mingapi?

Mnyalukolo Vahukaye

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
461
378
Habar ya jumapili wakuu

Maisha ya vijijin tulio wengi tunayafaham sa mm mchana huu nikiwa nafanya ukaguz kwenye mashamba ya miti uko porin ndan mara nakutana na kondoo katoka ibadan alaf kawaka balaa, ingawa sinaga uhusiano wala mazoea kivle lkn nikajisemea eee shetan kitengo cha zinaa naomba unitie nguvu za ziada nile tunda hili lililoko mikonon mwangu

Hakika akiombacho mtu shetan au mungu hukitoa tena kwa wakat, mara huku mara kule nkaambiwa utaweza kutunza siri maana namwogopa xn mkeo nkamjibu mm nina kifua chenye kaba ndo kwanza tukitoka apa naeza sahau kabisa na ck ingine tukionana naeza kutongoza kwa mara ingine "km enzi za feruz na wimbo wa starehe"

Jaman nimemlia uyu kondoo porin kuliko na hadhi ya lodge ya *5 had sio vzur kabisa, hakua na kitenge wala kanga so tumevurugana vya kutosha yaan km shetan alikua akishuhudia mchezo ule atakua ame enjoy xn ck ya leo na bila shaka nmemuwakilisha vyema

SWALI
Nina watoto wangu mapacha wenye miaka 3.5 iv sa kawaida yao wakiniona lazma wanikimbilie, wani waooo, wajinyate then twashkana mikono had ndan
Je sitawabemenda wanangu maana uku porin hakuna sehm ya kuoga nakutokana na mchezo kuratibiwa na shetan so nahc nna haruf ya k km yote yaan kiufup apa nlipo nina uchaf km wote ukizngatia mwenzangu hakua na tenge wala kanga na mie meenyewe sikua ata na leso

Naomben majibu wakuu na wataalam wa mambo
Nawasilisha
 
Jipake majivu na mchanga wakikuona waambie wasikuguse mpaka uoge.

Baada ya hapo kapime ngoma.

Swali tu dogo mpaka saa hii bado uko porini?

Hivi hujapata funzo la kwa zungu mkuu?
 
Habar ya jumapili wakuu

Maisha ya vijijin tulio wengi tunayafaham sa mm mchana huu nikiwa nafanya ukaguz kwenye mashamba ya miti uko porin ndan mara nakutana na kondoo katoka ibadan alaf kawaka balaa, ingawa sinaga uhusiano wala mazoea kivle lkn nikajisemea eee shetan kitengo cha zinaa naomba unitie nguvu za ziada nile tunda hili lililoko mikonon mwangu

Hakika akiombacho mtu shetan au mungu hukitoa tena kwa wakat, mara huku mara kule nkaambiwa utaweza kutunza siri maana namwogopa xn mkeo nkamjibu mm nina kifua chenye kaba ndo kwanza tukitoka apa naeza sahau kabisa na ck ingine tukionana naeza kutongoza kwa mara ingine "km enzi za feruz na wimbo wa starehe"

Jaman nimemlia uyu kondoo porin kuliko na hadhi ya lodge ya *5 had sio vzur kabisa, hakua na kitenge wala kanga so tumevurugana vya kutosha yaan km shetan alikua akishuhudia mchezo ule atakua ame enjoy xn ck ya leo na bila shaka nmemuwakilisha vyema

SWALI
Nina watoto wangu mapacha wenye miaka 3.5 iv sa kawaida yao wakiniona lazma wanikimbilie, wani waooo, wajinyate then twashkana mikono had ndan
Je sitawabemenda wanangu maana uku porin hakuna sehm ya kuoga nakutokana na mchezo kuratibiwa na shetan so nahc nna haruf ya k km yote yaan kiufup apa nlipo nina uchaf km wote ukizngatia mwenzangu hakua na tenge wala kanga na mie meenyewe sikua ata na leso

Naomben majibu wakuu na wataalam wa mambo
Nawasilisha
Watu mnatiana hata majalalani, iko siku mtatiana kwenye mashimo ya mavi
 
watanzania zinaa mmeifanya ni sifa kubwa sana unafanya zinaa nidhambi unaielezea ni dhambi na kila atakaesoma zinaa uliyofanya unaandikiwa dhambi fikiria ndugu yangu watasoma watu wangapi hii story yako na dhambi ngapi utakayoandikiwa kila siku na ujue humu jf story yako itakuwepo hata miaka 20 mbele watu wanaisoma. rudi kwenye vitabu vya dini usome mzinifu atafanywa nini
 
Pole sana mkuu,sidhani kama nawe ulipenda ufanye ivo....shetani yupo kazini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom