ukomavu wa wabunge wetu bunge lijalo utafahamika

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Wafanya kazi wa Tanzania hasa wa sekta binafsi, kwa namna moja au nyingine matumaini yao makubwa yapo katika bunge lijalo. Kuona ni kwa jinsi gani sheria kandamizi ya mafao ya kujitoa itakavyo shughulikiwa. Je kutakuwa na danadana yeyote. Je serikali itaziachia pesa ambazo kimsingi wanazipenda. Je bunge litakubali kuwa dhahifu na kurusu nchi kuingia katika machafuko.
 
Thubutu, sheria ya kupata mafao kabla ya miaka 55 ikirudi, nitajisaidia aja kubwa posta mpya
 
Back
Top Bottom