Ukiusikiliza mjadala wa TBC juu ya Chanjo ya Corona, utaihurumia Afrika

Brazaj: Prof Mgaya ni Marine Biologist wala sio mtaalam wa Chemistry na wala sio mwalimu wa namba moja, mwalimu wa namba moja no Dr Akwilapo
 
Wacha uwongo, Prof Mgaya ni Zoologist not Chemist! UDSM alikuwa anafundisha aquatic life na alikuwa Idara ya Zoology yenye tawi Kunduchi. Hajawahi kuwa Idara ya Kemia, amemfundishaje JPM? Kwanini mnapendaga uwongo humu? If you are not sure of something don't publish instead seek for right facts kwanza.
Uko sawa lakini sahihisho kidoogo sio Zoologist, ni Marine Biologist ndio maana alikuwa akifundisha Aquatic Life!
 
Wacha uwongo, Prof Mgaya ni Zoologist not Chemist! UDSM alikuwa anafundisha aquatic life na alikuwa Idara ya Zoology yenye tawi Kunduchi. Hajawahi kuwa Idara ya Kemia, amemfundishaje JPM? Kwanini mnapendaga uwongo humu? If you are not sure of something don't publish instead seek for right facts kwanza.
Uko sawa lakini sahihisho kidoogo sio Zoologist, ni Marine Biologist ndio maana alikuwa akifundisha Aquatic Life!
 
Brazaj: Prof Mgaya ni Marine Biologist wala sio mtaalam wa Chemistry na wala sio mwalimu wa namba moja, mwalimu wa namba moja no Dr Akwilapo

Mkuu taarifa za kuchakata ni lukuki wakati mwingine na ndimi zisizokuwa na mifupa hutereza pia.

Maboresho kadhaa yalishatolewa kuhusiana naye na composition nzima ya jopo lile.

Kwenye red ni yaliyo maboresho mapya zaidi:

IMG_20210308_150947_288.jpg


Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Hata kama hatuna uwezo wa kuvumbua chanjo yetu lkn hatuwezi kukubali kufanyiwa majaribio ya chanjo kutoka mataifa haya makubwa. Tumesikia Kwenye vyombo vya habari Kuwa Hata Huko America na Ulaya baadhi ya mashirikia na taasisi zisizo za kiserikali zimekataa kutumia chanjo hii. Kule Marekani kama unafuatilia juzi Baraza la maskofu kanisa katoliki wamekataa kutumia Chanjo hii kwasababu namna ilivyotengenezwa inakiuka maadili ya kiimani na kanisa katoliki Lakn pia Hawana imani nayo.

Sisi Tulichokifanya ni kujenga saikolojia nzuri ya watu kwamba ugonjwa huo upo lkn jitihada za mtu MMOJA MMOJA zinahitajika ili kukabiliana na Janga hili
Pia Tuna dawa zetu za asili ambazo tunaendelea kujifukiza na Maisha yanasonga.

Mleta mada hatuna kitu cah pekee ambacho tunaweza kukifanya na wenzetu mataifa makubwa wakaiga?
Mbona waliwafungia watu wao ndani(lockdown) lkn sisi hatukufanya na hatimaye wamewafungulia. Je hawajajifunza toka kwetu?

Twende hivyo hivo tutamuelewa tu jemedali Wetu Magufuli
 
Tungewaona wa maana sana kama wangetuambia chanjo,dawa au vifaa tiba tulivyowahi kugundua,kutengeneza na kutumia hadi sasa nchi ikifikisha umri wa Mtanzania kuitwa Mzee?Maisha yetu hayagandi,bora hata hizo chanjo zimegunduliwa na tukiri na kusema ahsante sayansi badala ya kuwadhihaki wenzetu.Nani hapa duniani anayehitaji kuwaua Watanzania?Kuna ushahidi wa nia hiyo?
 
Moja ya mambo makubwa ambayo utawala wa awamu ya tano umefanikiwa, ni kuonesha namna watanzania wengi tusivyo na Akili, kwa hiyo ndugu yangu mtoa mada Wala usipate shida, huo uprof wao Wala usikupe shida, kuwa Prof na kuwa na Akili ni vitu viwili tofauti
Watu waliokaa mbele wana nguvu sana, kubwaa ya kuweza kuamua aishi mtu au asiishi. So nguvu hiyo humfanya mtu aseme lolote. Tatizo ni letu tunapowaweka mbele; we take for granted,
The funamdental question is tutawezaje kuwaweka wale mahsusi wataosema yaliyoko moyoni mwetu na sio moyoni mwao. Maana sisi ndio huwaweka mbele.
Ila tusimsingizie Mungu.
 
1. Kama wanasema chanjo inachukua miaka 7 mpaka 10 wakati yetu pia hajafikisha muda huo sasa tatizo liko wapi? Unaumia chanjo ya kigeni kupingwa?

2. Unasema hao wasomi/serikali haijasema imefanya nini, umetazama mjadala mpaka mwisho? Mbona Prof. Mgaya ameeleza tuna chanjo 3 na dawa 4? Mbona serikali imesema na imeonyesha mashine za kujifukiza?

Hii ndio awamu wapingaji inabidi waropoke tu kufurahisha waliowatuma lakini kimsingi serikali inawakosesha hoja kabisa
 
Back
Top Bottom