Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

Kwaiyo itachukua miezi mingapi
Sana sana mmoja hauzidi maana ni kikao tu basi cha wajomba na ndugu upande wa baba (kwa mwanamke) then wanapanga ,ndani ya wiki kadhaa inakuwa tayri.

Ila siku ya kuletwa mahari nayo inapanga hata wiki mbili baada ya kupokea barua ya mahitaji yote ....Ndani ya wiki mbili na kuendelea unaweza kulipa .
 
Kuna mtu kanisubirisha miezi 5 nataka nirudishe posa yake akiwa tayari aanze upya
 
Muhuni huyo kwa sababu mahari ni utayari wa ndoa ,kwanza watu wengi wanalipa nusu yaani akiambiwa siku fulani mapema analeta hata kidogo na kuna uwezekano asilipe iliyobaki.

Mahari ni jambo la utayari na kuharakisha fasta.
 
Back
Top Bottom