Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Anaandika, Robert Heriel

Yaani ukitaka kugombana na Wanawake wengi, wewe waambie ukweli. Wanawake ni viumbe ambavyo havitaki Ukweli. Hii ni Kutokana na kuendesha na Hisia. Kikawaida Hisia hazihitaji Uhalisia/ukweli.
Na sio Wanawake tuu hata baadhi ya wanaume wanaotumia hisia hawapendi Ukweli. Wanadai ukweli unaumiza, lakini unaumiza nini? Jibu ni kuwa unaumiza Hisia. Ukweli hauumizi Akili, kwani Akili inapenda vitu vyenye Logic, mantiki ambavyo vingi ni ukweli, uhalisia.

Wanawake wenyewe wanajuana kuwa wanaendeshwa na mihemko, hivyo kama ni marafiki watakachokuwa wanajaribu kulinda urafiki wao NI kuhakikisha wanaridhisha hisia za marafiki zao. Ni ngumu Sana marafiki wa kike kuambiana ukweli. Na ikiwa mmoja atamuambia mwenzake ukweli basi itaonekana anamuonea Wivu. Hivyo ndivyo Saikolojia Yao ilivyo.

Mwanamke ni akheri umdanganye ili afurahi kuliko amwambie ukweli. Wanawake wengi ndio wako hivyo. Ukweli kwao ni kizungumkuti.

Malezi ya Binti WA kike yanahitaji umakini na utulivu mkubwa. Baba au Mama unapomlea Binti yako ni lazima ucheze na Saikolojia yake. Malezi ya Binti yako ni tofauti kabisa na malezi ya kijana wako wakiume. Nazungumzia kwenye umri wa balehe.

Elewa kuwa Mwanamke anapokuambia au kushauri Jambo atatoa maelezo kulingana na hisia zake juu ya kitu hicho. Mfano, kama Mwanamke hakupendi na akaambiwa atoe maelezo kukuhusu basi atatoa Maoni yanayolenga kukukera, kukuumiza, na kukupa uchungu.
Ni rahisi kujua uelekeo wa hisia za Mwanamke Kwa MTU Fulani, kujua anampenda au hampendi, kujua anawivu naye au chuki au laah!

Taikon hashauri Mwanamke kuwa msingi Mkuu wa kukushauri mambo nyeti Kutokana na kuwa Wao wengi wao hawayachukulii mambo katika msingi WA uhalisia Bali huyachukulia mambo katika msingi WA hisia za Wakati huo.

Mwanamke au mtu yeyote anayeendeshaa na mihemko aongeapo wala usimchukulie Serious Kwa sababu anavyoongea mara nyingi hamaanishi uhalisia wa kile akisemacho, Bali anazungumzia hisia zake tuu. Jambo ambalo Leo ni hivi kesho ni vile Jambo ambalo linawafanya wawe vigeugeu wasio na msimamo.

Ukitaka kupendwa na Wanawake wengi Duniani itakupasa uwe Mnafiki, na msema uongouongo ili kuzichota hisia zao. Kamwe usithubutu kusema Ukweli uwapo katika USO WA Mwanamke ikiwa unataka kupendwa na Mwanamke.

Moja ya Kanuni tulizozitumia enzi hizo tunajifunza kutongoza Wanawake ilikuwa kuwaambia Uongo unaopatana na hisia zao. Hivyo ndio Njia nyepesi ya kupendwa na Wanawake.

Wanawake wakifanya upuuzi wasifie au usiwe na habari nao, watakupenda. Ingawaje wapo Wanawake Wachache ambao hao NI kama miujiza na maajabu ambao hutumia Akili, hawa ni exceptional.

Mwanamke hata kama hajapendeza mwambie umependeza, hata kama havutii mwambie anakuacha Hoi.
Kujiamini Kwa Wanawake wengi halipo katika mantiki/Akili Bali katika hisia ambazo hutegemea anasikia nini Kutoka Kwa Watu.

Ndivyo tunavyomaliza Wikiendi Hii.
Ni Yule Mtibeli.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wengi wana uwezo wa kuujua ukweli lakini sio wote wanaopenda kuufata.

Kwa mfano

Kwenye circle ya kimahusiano, mwanamke anaweza kutongozwa na wanaume tofauti tofauti.

Katika hao anaweza akamuona mwanaume ambaye anajua kabisa mwanaume huyu ni husband material.

Mwanaume ambaye ana ambitions za kimaisha (husler) anayeweza kujenga naye maisha.

Lakini mwanamke akaamua kuachana naye kwasababu ya vitu vidogo tu kama muonekano (marafiki zake watamuonaje) au ni mtu fulani hivi ambaye hajichanganyi kwenye viwanja vya starehe ambapo huko anaweza kuvimbiana na marafiki zake (showoffs)

Halafu akaenda kujenga mahusiano na mwanaume mwingine ambaye anafahamu kabisa kuwa huyu si muoaji, ila kwakua ni cheki bob anapiga pamba kali na kuvaa ma chain ya silver anaona sasa huyu ndio atanifaa.
 
Wengi wana uwezo wa kuujua ukweli lakini sio wote wanaopenda kuufata.

Kwa mfano

Kwenye circle ya kimahusiano, mwanamke anaweza kutongozwa na wanaume tofauti tofauti...

Ni kweli. Hutumia hisia kufanya maamuzi hata kama ukweli anaujua. Jambo ambalo Matokeo yake huwa ni mabaya Mno.
Ndio maana Wanawake hawaoneani huruma tofauti na Sisi tunavyowachukulia
 
Wanawake hupenda sana vitu vya sifa sifa tu. Ndiyo maana wanapenda sana photogenic men, ambao watawapost kwenye mitandao ya kijamii na kuwalingishia marafiki zao.

Wako tayari wapige picha kwenye majengo ya benki na supermarkets na kujifanya kuwa ndiyo kwao.
 
Wanawake hupenda sana vitu vya sifa sifa tu. Ndiyo maana wanapenda sana photogenic men, ambao watawapost kwenye mitandao ya kijamii na kuwalingishia marafiki zao.

Wako tayari wapige picha kwenye majengo ya benki na supermarkets na kujifanya kuwa ndiyo kwao.

Sisi ndio machaguo Yao. Tunajua wanataka nini, na tunawapa kile watakacho.
 
Anajijua sio mzuri ila ukimsifia tu anavimba bichwa

Au umwambie mi mganga njaa ila nakupenda utasikia asante au we mi sio typ yako tena unikome.

Ila azima gari afu umuibukie au umwambie mi ni mkubwa flani kitengo flani huyo keshajaa.

Ukiwa mkweli kwa hawa viumbe humpati hata 1.

KIASILI MWANAMKE AMEUMBWA KWA AJILI YA KUTWENDWA mengine yote tunalazimisha afit kwenye hamna
 
Anajijua sio mzuri ila ukimsifia tu anavimba bichwa

Au umwambie mi mganga njaa ila nakupenda utasikia asante au we mi sio typ yako tena unikome.

Ila azima gari afu umuibukie au umwambie mi ni mkubwa flani kitengo flani huyo keshajaa.

KIASILI MWANAMKE AMEUMBWA KWA AJILI YA KUTWENDWA mengine yote tunalazimisha afit kwenye hamna

😂😂
Wameumbwa kujiumiza wenyewe.

Mwanamke unaweza ukawa mwaminifu kwake alafu akawa na wasiwasi kuwa unamcheat na kamwe hataamini yupo pekeake.
 
Mimi nimegombana Sana na Mama mzazi kwenye maamuzi yeye anaamua Kwa kutumia hisia kweli hata ukimueleza madhara na hatima ya kitu anachokifanya ataniambia "Wewe ni mbishi ukiambiwa husikii ukiharabikiwa ndyo unakuja kuamini".Haya maneno yamekuwa silaha yake kwangu hata kama najua maamuzi aliyochukua siyo.
 
Back
Top Bottom