Tulikuwa tunajadili jinsi watu wanaosemekana kuwa chini ya sheria wanavyoweza kuwa juu ya sheria kwa wakati wowote, tumegundua kuwa ili uweze kujua kama wewe ni raia wa nchi hii au la inakubidi UGOMBEE UBUNGE na si vinginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.