Ukisoma hii mpaka mwisho utakua umekombolewa

Quan Lup

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
640
751
Habari wana Jf

Kwenye haya maisha watu wengi wanateseka sana kwa sababu kuna vitu vitatu ambavo hawavijui trust me hii hakuna mtu atakaye kuambia siri ambayo matajiri wengi ndo wanayoitumia.

Kwenye huu ulimwengu tunaoishi kuna vitu vitatu ambavo ndo vinaongoza maisha yetu na ukivifahamu tuu unafanikiwa moja kwa moja

1.World nature
2.human nature
3.Religion

Hivi ndo vitu ambavo tunaishi navyo kila siku katika ulimwengu huu nitaelezea kimoja baada ya kingine.

1.WORLD NATURE
Hii naongelea rasilimali zilizopo duniani, kama bahari,mito, maziwa milima, madini, gesi, mafuta etc ambavo umezikuta na kupitia hizi hapa ndo wewe utaweza kupata utajiri je wewe unatumiaje rasilimali hizi zinazokuzunguka ipasavyo?

2.Human Nature
Hapa nazungumzia akili kila mtu ana akili lakini je hiyo akili yako unaitumia kama ipasavyo?
Je una ufahamu sawa sawa?
Umepewa akili uitumie lakini wewe huitumii ndo mana mpaka leo hii wewe ni maskini.

3. Religion
Hapa tunazungumzia dini na imewafanya watu wengi saana kuwa maskini wa maana wanaamini katika miujiza na sio kufanya kazi.

Unakuta mtu anaomba sana Mungua anakesha kanisani hafanyi kazi alafu anaamini kwenye miujuzi wewe ni Mpumbavu wa mwisho jinga sana. Disclamer Sijakukataza kuamini kwenye di ni maana kupitia dini kuna vitu vinakufundisha ila tumia akili yako vizuri.

Conclusion
KWENYE HAYA MAISHA UKITAKA UFANIKIWE TUMIA RULE NAMBA 1 NA 2 YA TATU NI EXTRA TUU. UKIZINGATIA HIYO NAMBA MOJA NA NAMBA 2 NI LAZIMA TUU UWE TAJIRI KWA NAMNA YEYOTE ILE. USIAMINI KWENYE KULOGWA MAANA HIYO NI ROHO YA UMASKINI. TUMIA RASILIMALI ZINAKUZUNGUKA ILA ZIKUTAJIRISHE NA PIA FUNGUA AKILI YAKO IWEZA KUWAZA EXTRA MILE.

YANGU NI HAYO YA MAY TAKE IT OR YA MAY NOT.
 
Dah nimekuja speed nikajua ni topic concrete kumbe ! Hivi unaeza niambia je mwanadamu mimi na wewe tunaweza kupata utimilifu wa furaha #ultimate happiness? Ambayo itakuwa haina kikomo?
 
Dah nimekuja speed nikajua ni topic concrete kumbe ! Hivi unaeza niambia je mwanadamu mimi na wewe tunaweza kupata utimilifu wa furaha #ultimate happiness? Ambayo itakuwa haina kikomo?
Hapana hakuna kitu cha namna hiyo
 
Back
Top Bottom