Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,810
- 15,398
Mwanaume anayepata muda wa kuongea vizuri, kwa siku huongea maneno 2000, wakati mwanamke huongea maneno 7000. Hivyo ukikutana na mwanamke mbeya, anayechonga sana au mcharuko, usimlaumu au kumwita majina mabaya, uwiano huo unadhihirisha udhaifu huo, huna haja ya kubishana nao
.. utapoteza muda wako bure.
Ni kwa mujjibu wa BBC katika matangazo yake ya Jumamosi ya tarehe 29[SUP]th[/SUP] October 2011,
Ni kwa mujjibu wa BBC katika matangazo yake ya Jumamosi ya tarehe 29[SUP]th[/SUP] October 2011,