Ukishachaguliwa first selection diploma ukaendelea kua apply second selection inakubali

Emmanuel180

JF-Expert Member
Dec 17, 2019
342
626
Jaman et uki apply diploma first selection ujawa selected ukienda pale NACTE kwenye tovuti yao upande wa afya wanasema congratulations unechaguliwa chuo fulan

Mimi kama sijaridhika naweza ku apply diploma second selection tena? Bila kuathiri first selection ile au hawawez ju request tena maombi kwa mtu huyo?
 
Mkuu hueleweki. Itakuwaje useme umeapplai na hukuwa selected na hapo hapo ati nacte wamesema HONGERA UMECHAGULIWA CHUO FULANI. Fafanua hili ili uweze kupata msaada!!!
Je ulijuaje kuwa hukuwa selected?
Je ulichaguliwa lakini huridhiki na waliko kupangia?
 
Dogo umemaliza form unashindwa kujenga hoja(points) ukaeleweka upo kwenye wakati gani na inahitaji kitu gani..
 
Iko hivi, 2nd round ni kwajili ya watu waliokosa vyuo na ambao hawakuomba kabisa, kama uliomba ukachaguliwa subiri kubadili kozi tu ndicho kinawesekana au kuhama chuo kama ukifanikisha hapo baadae. Ukishindwa hivyo subiri kuapply upya mwaka kesho. Hawapokei maombi ya mtu waliemchagua hata kama hujaridhika na katika mfumo wao hutoweza kuomba tena hata ucheze vipi.
 
Samahan second selection wanaanza kuaply lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom