Sensei Tai
Senior Member
- May 26, 2022
- 126
- 359
Huwa nachukizwa sana na wanawake ambao katikati ya mechi anakuomba uvue Condom
Weekend iliyopita nilikua na manzi flani Lodge sasa mzee mzima wakati nipo round ya tatu manzi akaniomba nivue Condom na alivoona sitaki kuvua akaniuliza "huniamini" ???
Mpaka navaa Condom tafsiri yake ni kwamba sikuamini sababu sijui umekutana na wangapi na pia tunajiepusha na mimba zisizotarajiwa plus magonjwa ya zinaa.
Mwanamke ukikutana na mwanaume ambae anatumia kinga shukuru Mungu mana anajari afya yako na yake na sio kumlazimisha avue kisha yanafuata majuto.
Je wewe kijana mwenzangu ushawahi kukutana na mwanamke ambae anakuomba uvue kinga ili upige kavukavu na je uliuepuka vipi mtego huo ?