Ukiona mama mzazi ndio mwenye sauti naomba usioe wala usiolewe

Nilijichanganya sitasahau, baba mkwe yupoyupo tu. Nilikimbia familia nina miaka thelathin tu nikaacha watoto watatu tu ningebaki ningekufa mapema. Mke alikuwa na kibiashara hela anatunza kwa mama yake, baadae akapewa kiwanja nyumbani bila mimi kujua akajenga kislope.
 
Back
Top Bottom