Ukiona magoti yanamgonga ujue anajigonga.........

Ruta, kauga and kigarama mmenifanya nisahau mengi niwaze zenu fikira ambazo najiuliza huwa mnawezaje kuyapata haya mashairi? binafsi sijui hata kutunga kawimbo ka kumbembeleza mtoto u can imagine jins ambavyo nawafeel kwa haya mashairi. keep it up
[MENTION]
gfsonwin[/MENTION]..........ufunguo wake ni kupenda na kujizoeza kama mimi nilivyotaka kufahamu siri ya tenzi za mahaba.............hakuna njia nyingine usijali mwanzoni hazitakuwa nzuri lakini mwishowe utakuwa gwiji
 
RUTA ilike u.. yaan ww hdari sana,, unajua kupangilia mistari. NA watu wanasema MUOGOPE MWANAADAMU KWA AKILI YAKE USIOGOPE MANENO YAKE,, kama ushair wako kuwa hujui mtu kilichomo moyon mwake anawaza nn, hongera mkuu mm nmekukubali

wahida you rock my WORLD............nilitaka kuacha hizi tenzi lakini kutokana na huge public demand nitaendelea........
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma hakika wasifika kwa kipaji
Kutoa yalo moyoni kuyaweka kwenye maandishi
Twashukuru kwa chako kipaji utenzi kukamilika
Moyo hauna subira ijapo kwa kiasi

Mr Rocky you really rock me with this chit..........thanks
 
Last edited by a moderator:
Hukumbuki ulituletea Uzi wenye kibwagizo hicho ? Ulipoweka Red ?
Au nime'confuse mimi ? Hukua wewe ?
Au mkuu ukishatoa Uzi , hukumbuki nyuzi zilizopita?
Last edited by Judgement; Yesterday at 11:41.



Judgement ninakumbuka ila nilikuwa ninatafuta mchango wako
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma asante kwa zako shukrani

Asante illotoka moyoni ni bora kwa zangu shukrani
Usifiwapo usikatae
Rutashubanyuma kukupa zako shukrani kwetu yawa lazima

naona AshaDii karudi na roho yako sasa itapata ahueni.............Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom