Elections 2010 Ukiona kwa Michuzi na Mjengwa kimya, jua mambo magumu CCM

kusema kweli Michuzi atakuwa amelet wasomaji wake down. Hili ni tukio la kihistoria na linatokea mara moja kila baada ya miaka mitano. Ni noma
 
Michuzi kashafulia tu jinsi alivyo kuwa anabebwa na muuza sura na kufanya Blog yake kuwa moja ya source nzuri ya habari lakini yeye mwenyewe alionyesha wazi alivyo kua anachakachua mambo watu ndio kuipotezea Blog yake.

Michuzi anatangaza akiwa 100% sure


soon JK atashinda kwa 80%
 
Back
Top Bottom