Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 831
Ngachoka kabsaa Meku, Kiru!Huyo ndo zake...
Ukienda kwake usisahau Neti yenye Ngao(Hisani ya America) kwenye bajaji yako, maana utaganda getini hadi uitiwe mwizi!
Sirudii tena!
Ngachoka kabsaa Meku, Kiru!Huyo ndo zake...
Ukienda kwake usisahau Neti yenye Ngao(Hisani ya America) kwenye bajaji yako, maana utaganda getini hadi uitiwe mwizi!
Ilibidi nipige vitu vigumu kutafuta usingizi!
Aisee! we ngoja tu!mi nilikuja nikakudip hukupiga....nikaondoka zangu....
hehehehe better that way! lolHapa naona it is safe niseme sijaelewa....lol... Nimefurahi ulipata alternative Kimey...
Huyo ndo zake...
Ukienda kwake usisahau Neti yenye Ngao(Hisani ya America) kwenye bajaji yako, maana utaganda getini hadi uitiwe mwizi!
Shhhiiii sema taratibu bana! Bado naugulia!khaa...kwa hiyo wewe ni simba....!!
Umesahau eeh?...Kawaida huwa mla kunde anasahau, lakini mtupa maganda hasahau!jamani jamani....mimi ndio niko hivyo?....
Shhhiiii sema taratibu bana! Bado naugulia!
Umesahau eeh?...Kawaida huwa mla kunde anasahau, lakini mtupa maganda hasahau!
Kwani Bigirita ulimfanyiaje juzi, na hiyo ushaisahau?
kwa hiyo hapa kuna kitu gani....?
Shikamoo dada mkubwa,tafadhali naomba nifikishie salam zangu kwa wapendwa wafuatao Husni,king'ast na mtoa mada,waambie nilipita humu na kuwapa salamu,Amen.
Nisamehe mkuu sikulijua hilo,Shikamoo kaka mkubwa!asante kwa kuwa kwa uwepo wako inawezekana kwa my big sisy lol!Mi mbona hujanitumia salamu Canta....unajua kuwa dada yako mkubwa bila mimi haiwezekani eeh?:embarassed2:
Shikamoo dada mkubwa,tafadhali naomba nifikishie salam zangu kwa wapendwa wafuatao Husni,king'ast na mtoa mada,waambie nilipita humu na kuwapa salamu,Amen.
Niko poa sisy,Mzee anaendelea vizuri keshatoka hospitalin!nashukuru salam zangu zimefika lol!jamani sist lisia, habari ya wewe? Mzee anaendeleaje? Mpe salamu zangu kwa mara nyingine tena.
Nisamehe mkuu sikulijua hilo,Shikamoo kaka mkubwa!asante kwa kuwa kwa uwepo wako inawezekana kwa my big sisy lol!
Niko poa sisy,Mzee anaendelea vizuri keshatoka hospitalin!nashukuru salam zangu zimefika lol!
Sweetie hapa waongea lolote... Mfano mpe pole Kimey alikua na majonzi makubwa saana....lol