BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,043
- 3,954
...Hapo Mjomba ?? Konda na uchakaramu wake woote, akikuambia 'Nauli, Babu !'..Ukiona konda anadai nauli anakwambia "hapo mjomba" badala ya "hapo braza"..
Ujue tayari mbingu ishatua
Jua wewe Mzee !!! ...