Ukiombwa pesa ya soda unatoa shilingi ngapi?

Juzi nilikua zangu nmekaa sehemu nakula rost ya kitimoto na Red Wine , wakati naendelea kula pale ghafla akatokea dada mmoja ambae ni jirani yangu lakini hatuna mazoea kivile, nikamsalimia akaitika, nikamkaribisha aje kula (Kama mnavyojua wabongo unamkaribisha tuu mtu kimazoea mda mwingine hatumaanishi)

Akavuta kiti akakaa, nashangaa anamuita muhudumu "Muuudumu niletee Glass na tishuuu! "nikashangaa sana, Wine yangu nilitaka ninywe mwenyewe sasa imepata muhuni tunaipiga mande!, nikasema sio tabu, Glass ikaletwa tukawa tunakunywa huku tunapiga story.

Kiukweli Dada aliniboa sana, ananiletea story nyingi, mara aniambie "hapa kuna vyumba ujuee"

Kiukweli mimi sipendi mtu aniongeleshe sana hua nasikia kama kichwa kinauma.

Nilimaliza kula, nikapiga glass moja ya mwisho, nikanawa, nikamuita muhudumu nikalipa bili, nikamuaga yule dada nikamuacha na chupa ya wine pale anywe.

Nashangaa naondoka ananishika mkono eti anataka nimuachie hata ya soda, nikasema sio shida, kwakua nilikua na chenchi nikampa 500 ya Coin akanywe hiyo soda, alitoa macho kama kapigwa shoti, kwa mawazo yake sijui alijua nitampa shingapi.

Mambo mengine bana.
binadam bhana yan ungempa laki 2 napo angetoa macho ivo ivo
 
Huyo dada ana chura?
Kama hana basi pole sana, maana lazima koo lilikuvimba kwa hasira alipokuwa anatafuna kitimoto na kumezea wine yako.

Naamini angekuwa na tako ungekuwa unakenua meno tu na hata ungeongeza chupa ya wine nyingine ili ikurahisishie upate tunda na ugegede.

Pole sana dogo, jero yako imekwenda na maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue wanamme huwa tunajitoa sana ufahamu kitu ambacho ni ujinga...................mtu umeombwa hela ya soda we unatoa 10000, kwani umeombwa macreti ya soda??????? ukiombwa hela ya soda toa 500 ama 1000 atakunywa sprite ya baridi nyngne ya moto basi. Tusifanye maisha magumu.
 
Ujue wanamme huwa tunajitoa sana ufahamu kitu ambacho ni ujinga...................mtu umeombwa hela ya soda we unatoa 10000, kwani umeombwa macreti ya soda??????? ukiombwa hela ya soda toa 500 ama 1000 atakunywa sprite ya baridi nyngne ya moto basi. Tusifanye maisha magumu.
Lol
 
Back
Top Bottom