Ukimfumania mwenzi wako nyamaza

kuna jamaa mwingine magomeni alimfumania mke wake wakawatoa nje uchi wa nyama na jamaa yake (miaka ya 1995) baadae watu wazima wakawashauri ndio wakawavisha khanga na kuwapeleka polisi. Cha ajabu jamaa baada ya mwezi akamrudia mkewe wakahama mtaa kwa aibu wote wawili

Umenikumbusha kisa hiki cha uswazi miaka hiyo.
 
Kupiga kelele haina maana sana, hata kukaa kimya pia haitowezekana kwa kila mtu kwani kila mmoja ana ujasiri wake tofauti na mwingine katika upokeaji wa matatizo. Jiulize kwa nini wengine huamua kujiua kwa njia yeyote kama kunywa sumu, kujinyonga kwa kitanzi, kukoroga chupa na kunywa, pia wengine huanza kulia, wengine hutoa kauli chafu na matusi, wengine ni kulia kwa kwenda mbele. Kwa hiyo kila mmoja atakayemfumania mwanza wake auvae ujasiri kwa kujikaza kwani kama ni ndoa keshasaliti, hivyo maamuzi ya busara ni muhimu na kuachana pia haina maana kwani aendako pia atajeruhi wengine kama kawa, hivyo ni kuwekana sawa na kuondoa tofauti na kurejesha amani na upendo vilivyokuwa vimetoweka.
 
Acha kudanganya watu...heshima inatoka kwa aliyeshindwa kuanisha mapungufu yaliyopo ili yarekebishwe...aliyekosa staha na ujasiri wa kumwacha kabisa huyo “mwenye dosari“ za kudumu na kwenda moja kwa moja huko ambako anafurahia.

Hata siku moja mtu hatakiwi kuona aibu/kukosewa heshima kwasababu ya mapungufu ambayo pengine hakiyasababisha yeye au hata hayajui.Na mpenzi/mwenzi mzuri ni yule atakaefanya jitihada kukusaidia kuondokana na dosari zako badala ya kwenda kuonyesha kwa mwanaume mwingine kama unazo.Alafu unasema watu wanyamaze kutunza heshima wakati huko mwenzako anakoenda imeshashushwa mpaka sakafuni....?!

Lizzy ingekuwa nakupa grade, yaani leo ungelamba A kabisa. this is one of the best post you have ever shared!!, nimependa analysis na logic yako,bravo
 
Kupiga kelele haina maana sana, hata kukaa kimya pia haitowezekana kwa kila mtu kwani kila mmoja ana ujasiri wake tofauti na mwingine katika upokeaji wa matatizo. Jiulize kwa nini wengine huamua kujiua kwa njia yeyote kama kunywa sumu, kujinyonga kwa kitanzi, kukoroga chupa na kunywa, pia wengine huanza kulia, wengine hutoa kauli chafu na matusi, wengine ni kulia kwa kwenda mbele. Kwa hiyo kila mmoja atakayemfumania mwanza wake auvae ujasiri kwa kujikaza kwani kama ni ndoa keshasaliti, hivyo maamuzi ya busara ni muhimu na kuachana pia haina maana kwani aendako pia atajeruhi wengine kama kawa, hivyo ni kuwekana sawa na kuondoa tofauti na kurejesha amani na upendo vilivyokuwa vimetoweka.

Hii yote ni busara inapotumika.
 
Hapo tusidanganyane, wewe unaye mwenzi au umesimuliwa? Hakuna formula na maamuzi ni yako kama ulivyoamua kuwa naye hukutafuta ushauru.
Jamaa mmoja jana (kwenye vikao vya jioni||) alinidokeza kuwa ni vema ukakimbia
 
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
What? Ever you tested your suggestion? If yes, to what extent did you performed? I think nature and time will tell you what you can do....!
 
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.

ha ha ha ha haaaaaa....hii ni kiboko.....Aisee wewe unafaa sana kuwa mshauri kwa wanandoa............nakuomba ufungue ofisi........LOL
 
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
Unaumwa? Yaani the cheater ndio awe sawa, wewe ulie danganywa ndio uone aibu na ukae kimya? Pole kwa partner wako...
 
Asie! Uliyeleta hii mada inaonekana hujakutwa na mambo makubwa makubwa! Ujasiri wa kukaa kimya hata bila kuwagombeza utaupata wapi?? Nijuavyo ukishamfumania mwenzi wako, hata ukiamua kuendelea nae lazima kwanza upendo utapungua kwa kiwango kikubwa sana, pia kwa mda mrefu hutamuamini kwa asilimia nyingi!, ndio maana hata vitabu vitakatifu vinasema kuwa; ...kwa swala la uzinzi mwaweza kutengana...!! Kumkalia kimya,yaani kutomsema yeye mwenyewe na kwa watu wengine ni kumharibu na kumtia ujinga!! Wakristo katika biblia tunasoma...usimnyime mtoto viboko kwani ndo stahili yake...(mithali?!) mtu anayetoka nje ya ndoa au mahusiano ya kimapenzi, ni msaliti mkubwa na stahili yake ni kukemewa kwa njia yoyote inayoonekana inafaa, iwe kuachwa au vinginevyo!
 
Kuna vitu vingi sana vya kuangalia. Mfano kama tayari mshazaa watoto there is no use kutengeneza public scandal coz ipo siku habari zitawafikia watoto wenu (whether mtaendelea kuishi pamoja au la)!! Mtawajengea watoto big psychological disorder throughout their life!!!

Likewise kama bado hamjaoana na hamna watoto , choice yoyote ile itafaa... iwe public scandal au kimyakimya!!! maana ni vyema mtu ambaye kafanya kosa hilo linywe lote hata kama linawashaje!!!
Kuna ukweli,haina faida yoyote kujaza watu na kufanya mambo ya kumdhalilisha kama kumpiga picha za utupu na mengineyo halafu kesho unaendelea kuishi nae nyumba moja.
 
Unyamaze halafu???hii ni nidhamu ya uoga.lazima um confront ili aelewe alichofanya ni kibaya then from there unaweza kujua kama unyamaze au upige mayowe
 
Inashauriwa kuwa ukimfumania mwenzi wako-mke/mume, usipige kelele ili watu wasijue,maana watakucheka kuwa mpaka mwenzi wako kafika hatua hiyo wewe una dosari mahali au huwajibiki ipasavyo ndio maana kaamua kutoka.Kaa kimya kama kuachana iwe kimya kimya kulinda heshima yako.
<br />
<br /
Hakuna cha kulinda heshima ambayo tayari imeshavunjwa. Kuhusu reaction hapo ni free style bwana hakuna general rule. Kuna vitu vingi sana vitakavyo influence reaction yako kama Umemfumania na nani?(your best friend,housegirl,his/her co worker,mtu ambaye humfahamu,X wake etc.);Umewafumania sehemu gani?(nyumbani kwako, chumbani kwako,guest house,nyumbani kwa rafiki yako etc.); Umewakuta ktk hali gani?(wako kwenye 18, intimate touching and kissing, wamekaa ktk pose ambalo unahisi ni wewe tu ndio unastahili kukaa nae etc.); Walipogundua umewaona wali react vipi? etc. etc.
 
Unyamaze halafu???hii ni nidhamu ya uoga.lazima um confront ili aelewe alichofanya ni kibaya then from there unaweza kujua kama unyamaze au upige mayowe
Kulnda heshima mbele ya jamii,si yatakuwa yako moyoni?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom