Ukikubali kuolewa na Mchaga, kubali kufata mila

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi, na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake, halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo.

Lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege, kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja, sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??

Kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu, sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu, ukimpenda mchaga kubali yote.
 
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi,na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake,halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo,lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege,kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja,sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu,sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu,ukimpenda mchaga kubali yote

Sio lazima, kila mmoja abaki na mila zake. Acha udiktaita wa kichaga
 
hakuna njia nyingine ya kuonesha upendo? maana uwepo tu wa baba mkwe hapo harusini ni upendo tosha, au mpaka mnyweshane vya kunyweshana?
 
Maswala ya mila mara nying yanakuwa respected na watu kutoka machame asili yaani kata za machame kask,kusn,uswaa,nronga uraa na maeneo mengine yaliyo kwene huu ukanda.lakini maeneo mengine kama kata za masama,lemira,boma etc haya mambo hayapo kabisa.
 
Sasa hapo sijui itakuwaje kuriya mbege kidogo tu kakataa mbolea atazoa kweli huyo si atakuambia hawezi kushika mavi mkiambiwa msioe vyasaka hamsikii
Jumamosi tulikuwa kwenye harusi ya ndugu yetu hapa Machame,ndugu yangu anaoa mwanamke kutoka DAR YAANI MZARAMO,mila zetu ni kwamba baba mzazi wa bwana harusi anachukua ""upata lwa wari"" maarufu kama mbege na kuria kidogo halafu kumkabidhi mtoto wake bwana harusi,na yeye ana riya kidogo na kumkabidgi baba yake,halafu tena baba ana riya kidogo tena na kumkabidhi bibi harusi ili ariye kidogo,lakini tunashangaa eti bibi harusi alitaka kukataa kuria ile mbege,kwa taarifa tu ni kwamba kile kitendo ni cha kimila na kinafanyika vile mbele za watu ili kuonyesha upendo katika familiya na umoja,sasa huyu dada yetu alikuwa hajui hayo??kama umekubali kuolewa na mchaga ujue hiyo ndiyo mila yetu,sisi hatuna mambo ya ngona na kanga moja kama huko kwenu,ukimpenda mchaga kubali yote
 
Kama kuna kabila lenye mila za hovyo dhidi ya wanawake Tanzania hii ni la wachagga. Wazee wa kichagga wanakula binti zao. Wazee wa kichagga wanakula hata wake za watoto zao. Aibu eti wanajifanya ndiyo ukisasa
 
Usasa huo umeusikia wapi kama si kudanganyana kwenye vijiwe vya "tangawiziii..."?

Fanya uchunguzi kabla ya kuandika kitu.. Kwanza lazima uandike kwa kila ukionacho?
 
Kama kuna kabila lenye mila za hovyo dhidi ya wanawake Tanzania hii ni la wachagga. Wazee wa kichagga wanakula binti zao. Wazee wa kichagga wanakula hata wake za watoto zao. Aibu eti wanajifanya ndiyo ukisasa

Mkuu huwa inafanyika hivyo kwa ajili ya mambo ya biashara, katika hali ya kawaida huwa hawafanyi kabisa!
 
Kuriya ndo nini hebu weka sawa mleta mada maana hiyo maneno sijawahi kuisikia kule R***o si unajua lugha yenu ilivyotofauti kulingana na mahali!
 
Back
Top Bottom