Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,881
- 1,850
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mchepuo PCB. Je, kutakuwa na effect yoyote endapo ntakapoomba TCU na kuweka kozi ya Ualimu mwishoni. Nasikia hata kama ukipata division One ukijaza Education hata mwishoni unachaguliwa nayo. Je, ni kweli?!!
Nataka kwenda JKT nkiwa nnafahamu hili swala.
Nataka kwenda JKT nkiwa nnafahamu hili swala.