Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 950
- 2,866
Zanzibar wakitaka kufanya chochote wanakuta kwenye (bunge la Zanzibar) baraza la wawakilishi pale Chukwani wanatunga na kupitisha sheria taratibu kanuni kwa ajili ya Zanzibar peke yao na kuweka kwenye katiba yao kando kinachoitwa katiba ya muungano.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
Case study suala la bandari.
Na ukiingia Zanzibar katiba inayotumika ni Zanzibar, Sheria Kanuni na taratibu za SMZ. Ikumbukwe Zanzibar wana
- SERIKALI
- BUNGE
- MAHAKAMA
- VIKOSI MAALUM
Case study suala la bandari.