Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Mama ntilie,wauza ndizi kwa kutembeza,wauza magenge/soko,wauza uzuri,wauza pombe za kienyeji,wapiga ngoma,wavuvi wanaoishi kwenye makambi ya uvuvi,mameneja na maafisa waajiri,masupervisor na mainspectors wa kampuni za ulinzi za KK Security na Ultimate,wafanyakazi wa kitengo cha maintenance US embassy,wafanyakazi wa kampuni za uwindaji wa kitalii,. . .

mmh wapo wengi sana kama ni ivyo cha msingi na cha sekondary ni kujichunga 2.
 
sasa hapo kuna kazi gani ambayo haijatajwa?so kumbe kila kaz unayofanya una 75% yakupata ngoma.kama walimu vile
 
Mapasta,

wachungaji,
wainjilisti

Madokta

washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili

umewamaliza mkuu.tz ukimwi m2pu mungu 2nusuru
 
mmh wapo wengi sana kama ni ivyo cha msingi na cha sekondary ni kujichunga 2.

Kujichunga kwa kuvaa chupi ya chuma na kupiga kufuli kubwa ambapo funguo wake utatakiwa uutupe baharini ama mto wenye maji mengi yenye maji mengi na spidi kubwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom